Mke wangu anachunguza mno simu yangu

Sula la kutokuwa busy linaweza kuwa sababu kabisa kwa maana yupo tu home na watoto ila kwenye kumtia mimba za mfululizo ntakuwa najiumiza mwenyewe.
 
usihangaike naye kuna mda ataamua mwenyewe kuacha wala usimzuie
Ni kama umeisoma akili yangu. Natamani nitoe kabisa password simu iwe wazi alafu nianze sasa kuchat na wanawake waziwazi. Nikirudi namuwekea mezani aangalie kama ITV.
 
Mke ni rafiki yako, mwandani wako, msiri wako, familia yako, nk. Ndivyo hivyo hivyo inavyotakiwa kwa mwanamke dhidi ya mume wake. Mapasword ni ya nini kwenye simu? Huoni kwa kitendo cha nyinyi kuishi na hizo password za simu ni kiashiria kimojawapo cha kukosa kuaminiana baina yenu? Kwa nini msiwe na maisha ya uwazi! No passwords, no secrets.

Kwa mfano wewe na hiyo familia yako mnachat mambo gani ya siri ambayo mke wako hatakiwi kuyajua? Halafu kama ulikuwa hujui, ukishaoa familia yako ni mke na watoto. Hiyo familia nyingine, marafiki, michepuko, nk hutakiwi kuipa uspesho uliopitiliza. Ukifanya hivyo familia yako halisi itakosa utulivu.
 
Mkeo ni member humu? Kama ninyi mnaoongea mkiwa uchi mmeshindwana vp sisi tusiomjua?

Ulioa ukiwa hujakomaa
 
Ni kama umeisoma akili yangu. Natamani nitoe kabisa password simu iwe wazi alafu nianze sasa kuchat na wanawake waziwazi. Nikirudi namuwekea mezani aangalie kama ITV.
Utamuua.....usifanye hivyo ! Huyo alipofikia hajiamini ....ukimpiga tukio atapata stroke huko.....itakuwa shida zaidi kwako.....nenda nae taratibu....kama unaweza mpige mimba awe busy au mtafutie shughuli awe busy but pia usimuache free sana maana akigundua kitu atakulipizia kisasi kwa kugawa nje....hatari sana akienda nje na stress .....ataanza kuhonga huko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…