Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
😅😅 wiiiiii, haumwi nije nikutibueMadaktari wa jeihefu😃
HApana nina ndugu lakini haitwi ivo wala hatumii hii app kwanini kakaUna undugu na Naxria abdalla ?
Nimeichukua bro nitalifanyia kaziVyote ulioshauriwa kuvifanya hapo juu usiwe na shauku ya kupata matokeo kwa haraka, tatizo huwa linaanza taratibu na pia kutoka kwake huchukua muda, kwa hio awe na subira kila kitu kiende kwa kiasi. Cha kuongezea kila akimaliza kula asilale papohapo, atumie muda kama nusu saa hivi kutembea. Kingine afanye mazoezi asikae sana na asitumie vyoo vya kukaa.
HahahaWewe mshikaji mbona magonjwa yanakuandama wewe na familia yako hivyo ?
Au upo intern ya tiba za asili maana halipiti juma haujawa na ugonjwa mpya ,wewe na familia .
Fika hospitalini haraka ukajieleze
ni kawaida tu kama vile nakula kila siku bas naweza kuumwa kila siku ni vile mungu ameamua na hosptal nafika vizuri tu ila bado mungu hajaleta kheri yake katika uponajiWewe mshikaji mbona magonjwa yanakuandama wewe na familia yako hivyo ?
Au upo intern ya tiba za asili maana halipiti juma haujawa na ugonjwa mpya ,wewe na familia .
Fika hospitalini haraka ukajieleze
Pole sana ndugu ,nahisi hali yako ,tafadhali ukiona vyema nitakuomba PM.ni kawaida tu kama vile nakula kila siku bas naweza kuumwa kila siku ni vile mungu ameamua na hosptal nafika vizuri tu ila bado mungu hajaleta kheri yake katika uponaji
KwaheiiiiiiMi natibuliwa na 🍆
Mkuu mkeo anajamba?Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
Apunguze kula maandazi ,chapati na mikate,anywe maji ya kutosha,mapapai ,maembe,Wakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno
Pia kama anatumia vinywaji baridi sana aache, na mwambie asubuhi kabla hajala chochote anywe maji vuguvugu yenye tangawizi na limao au ndimu.Labda nijaribu ukwaju ivo vyengine nimeshafanya
Kazi ya chips hiyoMke wangu anakaa siku 5 hapati choo kikubwa
Duh… Kwahiyo, huyu jamaa kaigeuza JF kuwa hospital yake?😁
Nichek Pm mkuuWakuu habari zenu naomba kusaidia jambo kama nilivyoeleza apo haja kubwa imekuwa shida kwa mke wangu hii hali inamtesa sana naomba mwenye kujua dawa anisaidie nimehangaika mno