bongo-live
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 1,776
- 2,393
ndoa imekolea vizuri sio gentleman?🐒Mzuka Wana jf
Mke wangu ni wa kijaluo mazee analala na full jinziii na mimi nimeamua, nalala na suti.
Nimefunga tai, shati nachomekea, suruali nachomekea kwenye soksi za Yanga
Mkanda sifungui. Mbwai ni mbwai
Wee jamaa miyeyusho mingiMzuka Wana jf
Mke wangu ni wa kijaluo mazee analala na full jinziii na mimi nimeamua, nalala na suti.
Nimefunga tai, shati nachomekea, suruali nachomekea kwenye soksi za Yanga
Mkanda sifungui. Mbwai ni mbwai