mke wangu analalamika maziwa kuwa makubwa usiku mchana yanapungu

mke wangu analalamika maziwa kuwa makubwa usiku mchana yanapungu

concordile 101

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2013
Posts
3,379
Reaction score
6,624
drs. msaada wenu hapo juu. mke wangu anatatizo la maziwa kuwa makubwa usikuu na mchana yanapungua, tatizo litakuwa nini
 
Maybe unanyonya sana mkuu so inabidi yajae usiku kukata kiu chako mkuu.
 
Back
Top Bottom