Bin Kisafuru
Senior Member
- Oct 4, 2018
- 109
- 161
Kiukweli huwa simsaliti mke wangu tukiwa wote, labda akisafiri au mimi nikisafiri, (more than one week).
Shida ni kwamba hivi karibuni (karibia mwezi sasa) amekua akiniuliza hivi ushanicheat mara ngapi?, kwanza nkashtuka maana siy kawaida, nkamjibu sijawahi kukusaliti mke wangu (ni kweli kama tupo wote). Akaniambia ulimwengu wa sasa hakuna mwanaume asiyechepuka.......tukaongea ujinga ujinga mwingi then tukaenda kulala, (sikula mzigo siku hiyo, sikupewa na sikutaka pia)
Binafsi nahisi anataka/ashanisaliti.
Naomba ushauri wa kuyajenga na mke wangu maana nampenda sana.
Ila sijakaa nae kuongea kuhusu hiki kichangamoto.
Naomba kuwasilisha.