Mke wangu ananilazimisha nimuombe msamaha mbele ya Kanisa

Na hilo kanisa anakoabudu huyo jike lako kama wanaruhusu binadamu kupigia magoti mbavu zake ,kawaitie TAKUKURU
 
1. Usikiri kosa hata ukamatwe (redhanded) unamshughulikia housegirl.
2. Mwanamke HAOMBWI MSAMAHA.
 
Wenzake wanamdanganya,..

Piga chini .
 
Zamani bible iliposema tuishi kwa akil na hawa viumbe sikuelew
Zamani bible iliposema tuishi na hawa viumbe kwa akil sikuelewa, au kama nilielewa, nilielewa isivyomaanisha. Kumbe bible ina maana kuwa hawa viumbe wana akil kuliko sisi, so kuishi nao lazima tujiongeze. Tusilale.
 
Hii inaitwa if you know you know.
 
Wewe ndiye mwenye mke hivyo kila unaloshauriwa humu changanya na akili zako, umuache ukaanze kutafuta mpya laa ukaombe msamaha kwani kosa unalijua wewe pia mkeo anajua uzito wake ndiyo maana karusha zigo hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Joka katika ubora wake
Kwenye dini kitendo cha kumwita mkeo mama bassi Huyo Sio mkeo kivip ww mama yako unaweza kuzin nae hapana jibu lake eeh umenisoma
 
Huwezi kumwamnbia mkeo MSHAMBA halafu ukategemea msamaha kirahisi hivyo. Hili ndo tatizo la kuoa wanawake wenye akili finyu, visasi na kukurupuka. Nimejaribu kusoma katikati ya mistari yako Mkuu
Asante mkuu
 
Aisee sasa umeoa au umeolewa mkuu eti unaenda kupiga goti na kuomba msamah kanisan kwa ajili ya mke angali mwenyez mungu ndo anaetakiwa kuombwa msamah kwa magoti kanisani
Brother Man Up!
 
Kwani ulilikosea kanisa? Anayeombwa msamaha ni yule aliyekosewa. Kama hilo ndilo sharti kwangu hiyo ndoano naichomoa dripu
 
CC Nape Nnauye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…