Hawana jema hawa viumbe
Acha uboya wewe, wewe ndio kichwa cha familia, hivi vitu vingine tuwe tunaangalia hata maisha ya mifugo yetu. Tangu lini jogoo aendeshwe na tetea.
Wewe ni mwanaume mkuu, wewe ndie mwenye mamlaka, huo msamaha muombe lakini iwe chumbani na mkienda mbali sana basi iwe mbele ya wazazi wenu.
Huko kanisani utapata aibu tu, mambo ya ndani hayawahusu hata kidogo watu wa nje ambao hawasaidii shida zenu, hivi mkikosa chakula mtalishwa na hao waumini???
Ishi na mwanamke kiakili mkuu, sometimes cheka naye, sometimes kuwa mkali, usitabirike.
Inawezekana kabisa mchungaji ndie kamteka akili, chunguza sana mienendo ya mchungaji wa hilo kanisa, asije akawa ndio wale wanad*nya wake za watu kwa kisingizio cha kusaidia waume zao.
Usikubali huu upuuzi mkuu, ishi kiafrika, haya mambo tuwaachie wazungu ndio wanaweza.
Muombe msamaha chumbani na umuonye iwe Mara ya mwisho kuleta fikra zake za kipuuzi eti umuombe msamaha kanisani.
Usiendeshwe kama gari bovu mkuu, Huyo ni mke wako, asikupande kichwani na ishu nae kiakili. Inawezekana unamchekea chekea kila saa ndio maana kakudharau kwamba utaenda kanisani kufanya huu upuuzi, USIKUBALI.
Kuna umuhimu Mkubwa sana wa kuomba msamaha. Lakini kutokana na hayo mashart nakushauri usithubutu.Wakuu nawasalimu,
Niko katika hali hii kwa sasa.
Ni kweli nilimkosea mke wangu. Nilifanya dhambi kama binadamu wengine wafanyavyo dhambi. Nimejutia kosa langu na nikaamua kumuomba msamaha mke wangu ili maisha yaendelee.
Jambo la kushangaza ni kuwa mke wangu huyu wa ujanani amekataa kunisamehe. ametoa mashariti kadhaa ili niweze kupata msamaha wake. Mashariti hayo ni haya.
1. Jumapili hii twende kanisani nikaombe msamaha mbele ya kanisa.
2. Turekodi mkanda wa video ili hata watu wengine ambao hawatakuwepo kanisani waweze kuona tukio hilo hapo badae.
3. Amesema pia nikiwa namuomba msahama mbele ya kanisa nimuite mama na wala siyo mke huku nikiwa nimepiga magoti.
Wakuu, nimefikiri sana swala hili. Nia hasa ya mke wangu ni nini. Hivi ndivyo msamaha unavyoobwa?
Nimejiuliza tena kwani atapungukiwa nini kama atanisamehe tukiwa wawili tu bila kamera?
Nilichopanga ni hiki , nataka kugoma kufanya kitendo hiki. Ninagoma kwa sababu nataka kulinda utu wangu. Kufanya dhambi au kumkosea mke wangu hakuondoi utu wangu hata kidogo.
Siko tayari kuuza utu wangu kwa gharama ya kulinda ndoa. Utu huwekwa na Mungu ndani ya mtu. Kuuza utu wako kwa mtu ni kumfanya mtu huyo kuchukua nafasi ya Mungu katika maisha yako. Siko tayari.
Msamaha una misingi yake. Moja ya misingi hiyo ni kulindiana heshima.Msahama ni upendo .Upendo haudhalilishi wengine.
Kama ndoa ni ndoano , basi ndoano hii haitaninasa.
ulifanya makosa gani mkuuWakuu nawasalimu,

Amesema walio kwenye ndoa watamuelewa.Kwahiyo usipoomba msamaha ndiyo kosa halikumbushiwi??
Huyu mke Lengo lake Siyo jema, usijekuta kuna baharia kamwambia akufanyie hivyo ili amseti kama anampenda haswa,
Kuna madhara haya ukikubali masharti yake;
1.Kudhalilika fika
2.Kumpoteza mke
3.Kugeuzwa mke humo ndani
4.Kupoteza ubaharia wako
5.Kupoteza utu wako kwa ajili ya mapenzi
6.Kuwa kichaa
Msimamo wako na uwe huo huo mkuu,
umeshamuomba msamaha yeye kama yeye, na bila shaka ulimkosea yeye kama yeye!
Sasa inakuaje tena ukaombe msamaha mbele ya kanisa?
Tena eti na mkanda wa video uchukuliwe.
Aise mliooa walokole kazi mnayo.
Mimi akinitamkia huo upuzi eti nikapige magoti mbele ya kanisa na huku narekodiwa, nitamnasa kibao huyo.
Kumuomba msamaha tu umempatia heshima, yake inatosha.
Haya ni mafurushi makubwaShangaa hata wewe
Amesema walio kwenye ndoa watamuelewa.
Upo kwenye ndoa?
Brother, I'm a real man, I know what I'm doing. That is why I said I won't kneel before her.Those are challenges which face people who marry girls instead of daughters.
Please seek help from marriage experts before you join into a business that is above your understanding.