Mke wangu ananiletea Usuperstar

Unavyomfungua mwanamke na kumtoa nje kikazi, kielimu au kibiashara ni sawa na kumwambia haya sasa toka nje katombwe na mboo zingine upate ladha tofauti.
Na ile ladha akiipata mchezo unakwisha
 
na kama alikuwa na nia ya kusomesha level ya mwisho kumsomesha mwanamke huwa ni cherehani sasa yeye kajitia ujuaji saivi unam-back fire
 
Duh😢
Sipendi Mimi haya mambo
Sijui tuna shida gani wanawake 🙌
Mpotezee Kwa muda,usiombe unyumba kabisa,piga kimya!
 
Katika chaka kubwa ambalo binadamu tumeingizwa na dini ni ndoa..
Very stressful
 
Swadakta Mzee.

Kwanza mpaka mwanamke anakubali kuolewa na wewe anaona kwamba wewe ndio mwanaume wa hadhi yake kwa muda huo kwa maana ya kielimu,kiuchumi na kijamii pia.

Ukisham-upgrade tu iwe kielimu au kiuchumi basi tayari unakuwa umempandisha daraja, na kama tayari ameshapata daraja Nini anachawaza muda huo? Kwamba wewe sio mwanaume wa hadhi yake Tena hivyo basi she deserves better.

Yes she deserves better option as her market value has increased.. haijalishi hata kama wewe ndio umemuongezea hiyo thamani.

Sasa hawa vijana wanajifanya magentlemen uchwara wanakazana kuwasomesha tu na kuwafungulia mabiashara makubwa makubwa wakiamini kwamba eti upendo wao kwa hao wanawake utaongeza, mwisho wa siku wanaishia kwenye majuto tu.
 
Naijua hiyo.
Piga moyo konde mkuu.
Kwa usalama wa afya ya akili yako anza kumtoa kichwani polepole finally fanya maisha yako. Shida zake zimeisha
 
Mwanaume wa kisasa ni specie ya mwanaume mjinga ambaye amedanganywa vingi kuhusu mwanamke na yeye akavipokea na kuamua kuishi navyo, moja wapo ni hili la kujiandaa kufa kabla ya mke wake bila kujua ina athari kubwa sana kwenye mfumo wa maisha yake.
 
sister Tayana-wog ni kweli mwanaume akimpotezea mwanamke au akimkalia kimya mwanamke yeyote hata kama sio mke wake au girlfriend lazima imuume huyo mwanamke kwasababu anakosa attention yako?
Lazima hakuna asiyependa attention,unless hakupendi,Hana time na wewe Tena!
Lazima utasikia mtu anaanza kulalamika....
Asimuulize Chochote,ajali watt tu.
 
Unasomeshaje demu?

Wenzio wanaachisha demu shule, we unasomesha?

Vitu vingine mnajitakiaga wenyewe
 
Lazima hakuna asiyependa attention,unless hakupendi,Hana time na wewe Tena!
Lazima utasikia mtu anaanza kulalamika....
Asimuulize Chochote,ajali watt tu.
Ndoa za hivi na mapito huww zinaashiria hatari kubwa, watu wakichokana ni mbaya sana
 
Hike kauli ya ukiona mwanaume amefanikiwa ujue kuna mwanamke nyuma yake ni kweli kabisa, wakina mama mtupe utulivu wa nafsi na mahaba ili tufanye yaliyo makubwa kuzilea familie zetu, mtupe amani ya kudumu na upendo usio pungukiwa ili akili yangu niwekeze kwenye kutafuta
 
Lazima hakuna asiyependa attention,unless hakupendi,Hana time na wewe Tena!
Lazima utasikia mtu anaanza kulalamika....
Asimuulize Chochote,ajali watt tu.
Naona hii ni kweli sister Tayana-wog wanawake nyie ni dhaifu sana mkikosa attention kwa mwanaume hata kwa mwanaume ambaye hauna uhusiano naole wa kimapenzi.

mfano, Nishawakaushia wanawake kadhaa ambao tunajuana lakini hatuna uhusiano wowote wa kimapenzi, baadaye nikagundua wanajisikia vibaya mimi kutowasilimia. Yaani mwanamke hawezi kushindana na mwanaume.
 
Bro..i think mwanamke ni kiumbe mzuri sana pale anapokosa options..Sasa wewe ulichokosea ni kumpa elimu ambayo imemfanya awe na options mbalimbali..Elimu mara nyingi humfanya mwanamke kuwa mwanaume jeuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…