Mke wangu ananiletea Usuperstar

Tayana-wog 29 yrs kwa mwanamke kweli anapaswa kuringa? Si umri unakuwa umeenda?
Hata 35 tunaringa na mtu hanibabaishi as long as, I'm happy!
Yaani mwanaume ukija unaeleweka tutaenda sawa,hueleweki kafie mbele !
Ndo maana nawapenda wazungu tu bongo tuna mentality za ajabu 🤣
Eti umri umeenda,umeenda wapi kwani?
Mama angu aliolewa na 30 Tena miaka hiyo ya 80 ,sembuse Leo 🤣
Jmn mambo yamebadirika sn
 
Kabla hujamfanyia mwanamke yoyote mema unatakiwa ujue kuwa mwanamke kwenye mapenzi ana standard ndio maana ni rahisi kukuta mwanamke kichaaa ana mimba kuliko kukuta mwanaume kichaa kamjaza mimba demu na unatakiwa ujue we are all children of conditions of environment and circumstances so usimuamini mtu 100%.
 
Mwanaume wa kisasa ni specie ya mwanaume mjinga ambaye amedanganywa vingi kuhusu mwanamke na yeye akavipokea na kuamua kuishi navyo, moja wapo ni hili la kujiandaa kufa kabla ya mke wake bila kujua ina athari kubwa sana kwenye mfumo wa maisha yake.
Sawa

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kaangalie ile video ya madam rita anayotafuta mume itakusaidia mpaka yupo tayari kuolewa mke wa pili kwa muislamu kila kitu kina umuhimu inategemea na wakati.
 
You're gentlemen yaani kama usipoweza kumuacha mwanamke bado hujakuwa.
 
Kaangalie ile video ya madam rita anayotafuta mume itakusaidia mpaka yupo tayari kuolewa mke wa pili kwa muislamu kila kitu kina umuhimu inategemea na wakati.
Ni yeye sio Mimi,na ht nikiangalia haiwezi kunisaidia, sbb
Kila mmoja na makuzi yake(family background) ,mtazamo wake!
Mtazamo wa mtu/watu au Jamii hauwezi ukafanya watu wote tuuishi!
Tuko Dunia nyingine
 
Ukifika 30 watch out. Kuna mates wangu hapa ofisini waliringa sana. Wanapata wanaume wanawadharau kisa mshahara. kuja kushtuka leo 35 wanatamani wao ndio waoe. Bahati mbaya hata mtoto wa kuzugia hawana
 
Kw

Kwahiyo hujawahi kumla? Hebu nenda kamle kwanza kisha ndo umpige chini.
 
Kw



Kwahiyo hujawahi kumla? Hebu nenda kamle kwanza kisha ndo umpige chini.
Nimemla mkuu. Ila ni mara chache sana ukilinganisha na huduma zangu. Kinachonikera nilikuwa namla kwa mbinde mpaka tugombane. Sometimes tunalala mpaka mzungu wa 4, kakijishtukia ndio kanakuja kunishika mkuyenge
 
Ukifika 30 watch out. Kuna mates wangu hapa ofisini waliringa sana. Wanapata wanaume wanawadharau kisa mshahara. kuja kushtuka leo 35 wanatamani wao ndio waoe. Bahati mbaya hata mtoto wa kuzugia hawana
Unajua mi hapa nimejifunza kitu, siwezi kumlaum mtu akifikisha huo umri sbb sijui nn na wapi kapitia!.
Ukiacha hao wanaoringa sbb wdko vzr wana Hela......
Kuna wengine😅o ,hata hatujawahi kupata kazi ya maana useme tuna mshahara,tumepita kwenye relationship ambazo unampenda mtu ,anakuwa yeye tu ,anakupotezea muda,anakupiga matukio ......

Ufanyeje?ukie ,uumie ,ujipe sress🤷
Hapana maisha lzm yaendelee hakuna namna😅

Ila hao wanaoringa waache tu wataelewa soon.
 
Mliooa wasomi kazi mnayo[emoji16]
Haya manamake masomi sijui yanafundishwagwa mini huko? Yanabaki kuwakorofisha waume zao huku huko nje yanapopolewa kwa kwenda mbele! Shenzi type kabisa!
 
OKW BOBAN SUNZU Inaonesha mwanamke akishafika kuanzia age ya 30 yrs inakuwa ngumu kupata mume?
Inakuwa ngumu, kwanza anakuwa ameshapauka(kama hana uwezo wa kujitunza), pili wajuba wanakuwa wameshamzalisha, tatu wanaume wanakuwa wanamuogopa-kwa nini awe hajaolewa mpaka leo. Akikosa kidogo tu jamaa anaona anhaaa huyu ndio maana hajaolewa.

Tofauti na hapo awe na added advantage. Mimi mwenyewe natafuta mwenye 30 kwa sababu zangu binafsi ila ntamfanyia investigation kali sana kuona kama not married kwa bahati mbaya sio kwa ukimeo
 
Nimekupata mkuu, kuna clip ya sister mmoja anaitwa Zanana juice ni sister maarufu bongo anauza juice kama alivyo Mak Juice nakumbuka alisema kuanzia 25+ mwanamke anaanza ku-drop.

Na kwa upande wa wanaume kama hajaoa ni hadi miaka mingapi anakuwa ameshachelewa?
 
Aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…