Liverpool VPN
JF-Expert Member
- Aug 29, 2020
- 6,958
- 16,358
Ndio huitwa uvumilivu wa ndoa?Huna haja ya kumwacha! Kama anakutunzia watoto usiingie kwenye matatizo yasiyo na maana!
Unachotakiwa ni kupambana ili kutafuta pesa!
Ni kweli katika ndoa mnasaidiana lakini kwa viumbe hivi, bila pesa yako vitakunyanyasa tu.
Pole Sana.Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Duh....Ona sasa wahuni wanakukazia
Kumbuka kitabu Cha wahuni 8:3
Tatizo lilianza pale tu uliposhindwa kumfikisha kileleni [emoji23][emoji23][emoji23]Nilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Nice husband nice wife wote motoniNilishawahi kusema kwenye uzi kwamba hii dunia haimuhitaji mtu anaeitwa;
1. Nice guy.
2. Nice husband.
3. A good father.
If you want to be :
1. A nice guy or.
2. A nice husband or
3. A nice father.
You will be punished kama ambavyo mtoa mada ana " punishiwa" kwa kosa la kwenda kinyume na dunia.
If you want to be a nice guy or a nice husband or a nice father just be it but for your own risk
Nilikuwa nahesabu tu post nitapitia ngapi kabla ya kukutana na wazee wa "kataa ndoa".Ndoa ni utapeli nani kawadanganya kuoa nyie watu!! Ona sasa na shule ulimpeleka MWANAMKE HASOMESHWI haijalishi ni mke au mchumba usijipe majukukumu ya mzazi wake.
KATAA NDOA TUNZA FURAHA YAKO.
NakaziaNice husband nice wife wote motoni
Moto wa magogo sio wa microwaveNakazia
Joanah!!!Mlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani
Ona sasa wahuni wanakukazia
UsinipangieJ
Joanah!!!
Punguza kidogo........!