Kuna namna dunia inakwenda na wengi wenye roho zisizo na msimamo wanapata matokeo kama haya maana hapo kilichokuponza ni huruma pekee na kuona kama atakua mwema siku zote na katika mikasa hii yenye mamumivu naweza thibitisha kuwa mwanaume ni mwaminifu siku zote achana na hizo asilimia 2 za hawa wagaigai
Nishaachwa mie. Wengine huoni yanayowakuta?Una umri gani kwenye ndoa?
Hizi ndio ndoa zetu kwa watu waliokuja kimchongo huyo hajapendwa alikuwa anatumiwa tuNa hizi ndio NDOA ZENU.
#YNWA
Hii nzuri Afandeee.Wewe niwaovyoo mwanaume analilia penzi mwehu kweli tafuta pisi kali kuliko yeye yenye mapenzi ya dhati ambaye anahitaji penzi na anahitaji kweli hamia huko basi usimtamani wala kumpigia kaa kimya rudi muda utakao maana ndani hupewi kitu .
Kila weekend watoe watoto out usilale chumba kimoja naye. Usimwonyeshe dharau watoto wakihitaji kitu unawapa . Akikuomba ushauri unampa simple . Hujawahi pitia uhusiano serious ya kifala kama mie nimekuwa na mtu ila sio ndoa mpaka unyumba anakuringia . Anadai amechoka basi nikaona sio tija.
Miezi kadhaa anaringa nikaamiankwa jirani huyo jirani anajua mapenzi naalikuwa single.
Basi mpenzi wangu akanza kusanuka akaanza kuachia unyumba ila namimi nikaanza kuringa mapenzi nampa mwingine. Hadi akaja namachozi babe turudiane huku na magoti mwanadamu usiringiwe na watu
Unaakili nyingi kama Tesla kama umeliona hili.Kuna namna tu naamini sisi wanawake inabidi tukae tu nyumbani kulea
Hapa utagundua kwa nini waarabu huo ujinga wa wanawake kusoma,sijui kuhamishwa kikazi,kwenda field hawanaga. Kuku akilala nje,huyo kwisha. Si kuku tena ni kwale.Kuna namna tu naamini sisi wanawake inabidi tukae tu nyumbani kulea
Swali kwani nae kapata kazi baada kupata au mama wa nyumbani tuNilimkuta huyu mwanamke akiwa katika hali duni sana ya kimaisha, sina nia mbaya ya kutangaza shida zake kwaku hakuna anaemjua ila nikisema hali ngumu namaanisha ngumu, yani ile hata ya mlo mmoja shida, kifupi ni ufikara.
Nilipendwezwa na kua nibwatu wa kanisani na pia ni kiri kua huyu mwanamke ni mzuri, huenda kwa kipindi kile hakua anajua kua ni mzuri au shida zilimfanya awe humble.
Nilimkuta na baadhi ya changamoto kama maradhi mengine ni y aibu, nimemtibia benga kwa bega bila kumnyanyapaa, mpaka amepona. Kifupi nilijotoa moja kwa moja.
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Nilianza kupata unyumba kwa mbinde sana, mpaka nikaleta uzi humu.
Ila sasa ndugu zangu naona majivuno ya kujiona yeye matawi yanazidi. Ni kama vile mtu anaejiona ana option nyingi sana na kama vile mimi sio level zake.
Kwasasa naangalia watoto tu, niko tayari kwa lolote, mtu mwenye uwelewa mzuri ni baba ake tu, mama ake nao naona pia anampa kichwa mwanae.
Nitakapodhibitisha amenisaliti, tutagawana tulichochuma kiroho safi kabisa, nili muendeleza kwa nia njema, yanayotokea ni maamuzi yake yeye mwenyewe.
Mungu anipe moyo wa kuhimili lolote litakalokuja.
Halafu ukishalea nani atakupa mahitaji ya muhimu, saivi maisha sio kama zamani ya mama zetu saivi maisha ni challenge maisha ni kupanda sio kushuka, unatafuta gari za kisasa unajenga nyumba zakisasa sio huyo tu ajenge hata wewe unaparangana unajenga hawa wanaodharau waume zao wao ndio wajinga waliwao . Hata ukiwa na mafanikio mume ni kama baba tena yule anayekupa everything.Kuna namna tu naamini sisi wanawake inabidi tukae tu nyumbani kulea
Wanaobaki nyumbani nao hawana unafuu. Wakija wakata kucha na wasafisha miguu wakiwashika kidogo tu mnapita nao.Kuna namna tu naamini sisi wanawake inabidi tukae tu nyumbani kulea
Ni basi tu kuna namna/changamoto zisizokwepeka kwa wengine wetu.....otherwise mimi binafsi naona inabidi iwe hivyoUnaakili nyingi kama Tesla kama umeliona hili.
It's a probability,Watu wanafanya vtu kwa nia njema, umempenda mwanamke unamuweka ndani ila unaona kabisa bila kumpa exposure hata kulea watoto hawezi, unaamua kiroho safi kufanya jambo kwa ajilh yake na kizazi chenu, mwenzako baada ya kumtoa tongotongo anakengeuka.
unafanya nn? achana naye muda si muda dunia itampiga mateke ya kushiba, usiwaze sana ulivowekeza kwake, nina mifano hai mingi sana ya wanawake kama wa huyu mwamba. ambao baada ya kusambaratisha ndoa waliishia pabaya sana.
Yes sometimes hapo kwenye mahitaji muhimu ndiyo panapelekea mtu kuanza mambo ya kujitaftia otherwise maoni yangu ni hayoHalafu ukishalea nani atakupa mahitaji ya muhimu, saivi maisha sio kama zamani ya mama zetu saivi maisha ni challenge maisha ni kupanda sio kushuka, unatafuta gari za kisasa unajenga nyumba zakisasa sio huyo tu ajenge hata wewe unaparangana unajenga hawa wanaodharau waume zao wao ndio wajinga waliwao . Hata ukiwa na mafanikio mume ni kama baba tena yule anayekupa everything.
Kuna kitu kinaitwa tabia.....ni kama ngozi, rigidWanaobaki nyumbani nao hawana unafuu. Wakija wakata kucha na wasafisha miguu wakiwashika kidogo tu mnapita nao.