Mke wangu ananiletea Usuperstar

Makosa mawili hupaswi kuyafanya Kwa mwanamke na kama ukifanya jua ipo siku utajutia!


1. Kumuwezesha kiuchumi.
Kumtafutia kazi au kumuwezesha kiuchumi Kwa namna yoyote. Mwanamke akiwa stable kiuchumi unapoteza thamani kwake! Fanya unachoweza kumsaidia ila aendelee kuwa dependent kwako.



3. Usimsomeshe mwanamke!
Mwanamke hasomeshwi. Ukijitahidi sana kumsomesha mpeleke akasomee MAPISHI awe anakupikia Chakula home !



Sasa nyie endeleeni kujifanya mna mapenzi mengi mwisho wa siku mnakuja kulia Lia humu.
 
Provided umemsomesha na umezaa naye basi hakuna shida fanya kama ulimpa zawadi ya Elimu. Kuna senti atakuwa anazidondoshea kwa watoto.

Jambo la msingi endelea kutengeneza pesa na usiendeshwe naye. Tafuta furaha yako uishi maisha marefu vinginevyo utamuacha akitamba duniani.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Mlishaambiwa kama umeamua kumsomesha mwanamke msomeshe ufundi cherehani

Ona sasa wahuni wanakukazia
Huko pia anaweza anza kuwa busy na mafundi wenzie na wanaomuuzia vitambaa. Akaanza kurudi saa 8 usiku kisingizio amepewa order ya kushona nguo za harusi.

Mwanaume wa kisasa mwenye uelewa angependa siku akitangulia kuondoka duniani amwache mwanamke anayamudu mapambano ya maisha na elimu ndio itamsaidia.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kosa nililofanya ambalo halikufaa kua kosa ni kumuendeleza kielimu, naona baada ya kutokatoka akaja gundua kua na yeye ni pisi kali miongoni mwa pisi kali.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.

Matendo ya wanaume 12:36
Mwanaume usisomeshe mchumba au mke, hilo ni jukumu la kwao alipozaliwa..

Kama unataka mwenye degree, oa ambaye tayari anayo, maana wapo tele. Siyo unachukua form four unaanza kusomesha.

Uliona wapi mtu anayependa gari nyekundu, aende kununua nyeusi ili akapake rangi nyekundu?!
 
So inatakiwa mtu aweje? Unaweza tupa maarifa.
Ila mi navoona a nice guy, a good husband and a nice father anatakiwa awe na maarifa kuzidi mwanamke ili adumu naye, maarifa ya rohoni na mwilini hasahasa ya rohoni ni ya muhimu zaidi maana Mungu anawapenda watu kama hao na anawapigania wakimtumainia.
 
Mlifunga ndoa au sogea tukae? Kama hamkufunga ndoa hakuna cha kugawana hapo
 
Hakuna ulichokosea mkuu. Yote uliyafanya ni sahihi kwa mkeo.
Ila kitendo tu cha mke kukunyima papa ujue kuna kitu kinaendelea. Yaani kuna mtu au watu wanamkula, wewe amekuzoea hadi anakuona kawaida.
Soln: Ongea nae, hata hivyo naamini hadi umekuja huku ulishaongea nae.

Pambania furaha yako mzee, tafuta pisi moja anzisha nayo mahusiano tena jiachie kwa raha zako.
Huyo Malaya hakuna hata kuhangaika nae. Mpe uhuru wote ila usijethubutu kumuomba wala kutamani papa lake.
Nakuhakikishia mke wako atarudi kulekule alikotoka kwenye malazi ya ajabu na umasikini kwa kasi ya ajabu.
 
Pole, siyo kwamba kabadilika, hiyo ndo tabia yake halisi, tabia halisi ya mtu inakuja baada ya kupata pesa, cheo au elimu.

Kama mtu ana hizo sifa tatu halafu akabaki kuwa humble, huyo ndo mtu sasa.
 
Mke ana elimu gani na wewe una elimu gani?
 
Nani kakuambia umsomeshe mwanamke hata baba ake mzazi anakuona wee Ni mjinga Sana

Kumtibu uko sahih Sana

Kama Ni biashara ungemfungulia kaduka ka mangi au genge haijakishi unapesa Kia's gani

Alfu ukute mdogo wako wa damu alikosa ada ya kusoma masters ww ukapeleka mke kusoma


Nina Kaka angu Ni mjinga Ni mpuuz Kama nn kajitia Ana uwezo Hadi akamuolea mke mdg ake na mke wake kilicho Kuja kutokeaa dogo walipelekana nae police

Broo acheni kujitoa ufahamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…