Mke wangu ananiweka njia panda

Mke wangu ananiweka njia panda

Omopa

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2022
Posts
335
Reaction score
1,466
Aisee kama ndoa zenyewe ndizo hizi aisee sio poa kabisa nitajiengua kabisa muda si mrefu maana nahisi maluwe luwe kila siku na mbaya zaidi nimetoa mahari si haba lakini naona uzalendo unanishinda kabisa aisee

Hivi inakuaje mke wako anamtumia picha zake mwanaume mwingine? Hata akiwa kaka yake ni.sahihi kumtumia picha zake? Na pia wakati anaongea na huyo mwanaume au huyo anayemsema kaka yake anamwambia kwamba maisha ni mafupi kama mwanaume akinichoka aache niende zangu aisseee nimechoka kabisa wakuu

Na binti alikuwa msabato na mimi
New billionaire in town dini nyingine lakini yeye kutwa kupiga nyimbo za kisabato tu na wakati wa kulala lazima asome sala za kisabato wtf inanikera sana

Nahisi huyu moyo wake willing bado anaiwaza usabato wake tu hakuwa willing kubadilisha dini ila sasa kabla sijaenda kumuona alikubali kubadilisha dini;
 
_20231206_133017.JPG
 
Wewe muweke uchochorini Ili muende sawa.
 
huyo anayemsema kaka yake anamwambia kwamba maisha ni mafupi kama mwanaume akinichoka aache niende zangu aisseee nimechoka kabisa wakuu

Kaka (sibling) huwa anaheshimiwa haya maneno... Mmmmmh

Hayo mekundu jiongeze kwanza uongeze nae.. ufahamu ukweli.. mwanamke hawezi kuongea na eti Kaka ukiwepo maneno hayo.. hakupendi.
 
Hii ndoa haitoboi kufika mwakani mwezi wapili [emoji3][emoji3][emoji3] pole saana mkuu
 
Hebu weka hizo picha alizomtumia huyo mwanaume mwenzako tuzione...

Nipate pa kuanzia kukushauri...
 
C ulikulaa naye kiapo kanisan kwambaa kifo ndio kitawatenganisha na c maongezi ya kwenyee cm !!!!

Embu tulienee mwendelee kuheshimu viapo ..

Kataa NDOAA
Wapi ameandika walikula kiapo kanisani au mimi ndio sioni[emoji3064][emoji848]
 
Kaka..?? 🤔 mkuu kwani hukuwatambua nduguze kabla ya kuoa....? Ndoa sio drama jamani embu mtu akioa au akiolewa aelewe kua anaingia stage nyingine na upuuzi wote aache huko nyuma.
 
Wako wengi si unajua wasukuma?
 
Back
Top Bottom