Mke wangu anaota ndoto anapigwa ngumi usoni

Mke wangu anaota ndoto anapigwa ngumi usoni

ze jj

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
497
Reaction score
592
Mke wangu ameota Leo usiku kuwa anapigwa ngumi na jitu limemkalia kifuani. Ameamka amekuta uso mzito unamuuma kama kapigwa kweli.
 
Alipambana katika ulimwengu wa roho. Aombe Mungu amshindie hiyo vita
 
Atakuwa alipigana kweli, aombe sana kwa ajili ya vita na wabaya wa usiku
 
Back
Top Bottom