AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
Jamani naombeni msaada wa mke wangu kusumbuliwa na maumivu makali ya mshono, yanayokuja na kuondoka leo yamezidi alijifungua kwa operation miezi minne iliyopita anaumia sana mpaka namuonea huruma.
Yaani kwenye sehemu ya mwanzo ya mshono kama pamebonyea sio sawa kama nyingine zilizoinuka as for example mtu aliyewahi kuchwanjwa na kitu akiwa amepona lile kovu lake..naombeni msaada...
Akikohoa ndo panauma...
Sasa sijui ni vile aliambiwa asikanyage maji maji ya baridi au sakafu ya baridi awe anavaa soksi au ndo kumbeba mtoto mara kwa mara labda yaani sielewi naombeni msaada wa mawazo nifanye nini?
Sina hela kwa kweli usiku huu wa kwenda hosp ndio maana nikaja hapa ila sijaomba mnisaidie hela inshaa allah amlaze salama mke wangu kesho nitatafuta nitapata na inshaa allah ushauri wenu nitaufanyia kazi nikijaaliwa...
Naamini allah amejaalia wataalamu humu
Sent using Jamii Forums mobile app