Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

lindunduru

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2015
Posts
392
Reaction score
553
Habari zenu ndugu zangu, jamaa na marafiki zangu,

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.

Ki ukweli tunaishi vizuri mno ni mnyenyekevu, msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.

Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.

Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa.
 
Duuh, pole hapo kuna ishara mbaya sna mkuu hemu simama kiume inaonesha una ka udhaifu ka maaamuzi na misimamo imara hadi yy anahis akiwa na mawasiliano na ex haitokua ishu kwako hio ni dharau simama kiume ukicheleza utakuja na nyuzi ya kilio hapa
 
Mwenye tatizo ni wewe. Nani kakwambia uchunguze chunguze simu ya mkeo? Usingekuwa na kihere here cha kuigusa gusa wala usingefika hapa. Mwache arudi mme mwenzako akafaidi wewe urudi kupiga puli!
Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
 
Habari zenu Ndugu zangu,jamaa na marafiki zangu.

Hoja iko hivi, nina mke ambaye nimedumu naye kwa mwaka karibu wa 10 na Mungu kanijalia watoto kadhaa.
Ki ukweli tunaishi vizuri mno.ni mnyenyekevu,msafi na ni mzuri mno.
Ila miaka miwili tu baada ya kumuoa nilibaini namba moja ambayo alikuwa haja isave ila ilikuwa ndiyo namba ambayo ilikuwa imepigwa mara nyingi sana.
Nilimbana mpaka akaja akakiri kuwa huyo ndiye aliyekuwa Ex boy friend wake.
Kidume nikampiga marufuku lakini ameendelea kuwasiliana naye mpaka mwezi uliopita Licha ya kufikisha mpaka kwa wazee mara kadhaa kwa sababu hiyo.
Sasa najua kuna wataalamu wa mambo ya mahusiano humu ambao mnaweza kunisaidia nifanyaje kwa sababu ki ukweli naelekea kuachana naye kwa sasa
Kama una uwezo iba namba ya uyo Ex wake....mtafute mchimbe bonge la biti muulize kama ashawahi kutolewa malinda...mjambishe aswaaaa then mfuate mkeo naye mjambishe mwambie huoni hasara kuua mtu...mwambie utampoteza kwenye uso wa dunia uyo ex wake kma bomu lilopiga hiroshima kuwa hutaacha ata vumbi la kuzika
 
Back
Top Bottom