Mke wangu anapenda kuwasiliana na Ex wake

Hapo nimekusoma mkubwa.ngoja nipashe kisawa sawa ili nikifika nimtishie hata kumgeuza eti eeeeee?
 
Akili zangu zinanipeleka huko kwa zaidi ya 80% na ndiyo maana nafikiria kumpiga chini.ila nikiwaza watoto ndo nachanganyikiwa kabisa
Bahati mbaya ukute hata hao watoto wote ni wa huyo x wake.....pole lkn kuwa mwanaume!
 
Unaibiwaaaa ! Unaibiwaaaaa! Unaibiwaaa [emoji443][emoji443][emoji443]
 
Tumefunga ndoa sasa yeye na mimi ni mwili mmoja,chake changu,changu chake nitaachaje kuchunguza?
Bata ukimchunguza sana huwezi kumla. Now you are paying for your jealousy! Pole sana. Hata wewe akianza kukuchunguza hawezi kukosa mapungufu. Kwa kifupi nakushauri achana na business ya kuchunguza simu ya mkeo kama huna kifua...
 
Hapo Utakuja kufa kwa pressure huyo mkeo Kuna vitu anamic toka kwa jamaa yake WA zaman na Kuna uwezakano jamaa keshachapa hebu chunguza kwa undani zaidi Ila kuwa na moyo msije mkagawana majengo ya serikal
 
Hivi kweeli unashindwa mkataza au??!! Jitafakari upya mkuu, kuna shida mahali na kuna uwezekano mkubwa mkeo sio mwaminifu
 
Sasa miaka 10 ya pamoja umuache kisa ex? Chukua line vunja vunja msajilie nyingine problem solved.
 
Bata ukimchunguza sana huwezi kumla. Now you are paying for your jealousy! Pole sana. Hata wewe akianza kukuchunguza hawezi kukosa mapungufu. Kwa kifupi nakushauri achana na business ya kuchunguza simu ya mkeo kama huna kifua...
Kifua ninacho kikubwa tu.jaribu kufikiria toka 2008 ndiyo jukwaani nakuja leo.nimevulia sana
 
Hivi kweeli unashindwa mkataza au??!! Jitafakari upya mkuu, kuna shida mahali na kuna uwezekano mkubwa mkeo sio mwaminifu
Namkataza sana ila sijawahi kumtwisha ngumi.labda nijaribu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…