JembeNaNyundo
JF-Expert Member
- Dec 9, 2016
- 533
- 652
Ngoja nitafute dogodogo wa kunipoza aendapo harusini.
Hakika, ukiwaokota kule hawana gharamaHarusini ni Sehemu wanayopatia Mabwana kwa urahisi
Wacha fitna weweHarusini ni Sehemu wanayopatia Mabwana kwa urahisi
Wacha fitna wewe
We unatumia shs ngapi bar???Yaani kila mwezi lazima atumie laki 3 kwa ajili ya michango ya harusi. Nimemvumilia hadi nimemchoka. Ati ni hobby yake. Ukikuta mtu kaachwa ujue kuna mtu yamemfika hapa. Ngoja nitafute dogodogo wa kunipoza aendapo harusini.
Laki tano tu!We unatumia shs ngapi bar???