MKE WANGU ANAPINGA AGIZO LA MUKULU

MKE WANGU ANAPINGA AGIZO LA MUKULU

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga kuanzia leo hadi 2020 niwe nimemfyatulisha watoto 5, wanaume 3 na wakike 2. Ila mke wangu amepinga agizo hilo la ufyatuaji na kwamba anendelea na zoezi lake la uzazi wa mpango. Sasa kwa ukaidi huu wa agizo la mkulu umenifanya nifikirie mara mbili aidha nimtumbue au nimfanyeje
 
Tafuta mwanamke mwingine uyo kuwa nae as wife ila kuwa na michepuko mingine 5 uizalishe watoto mwansmke mmoja asikumize kichwa
 
Habari wanajamvi?
Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga kuanzia leo hadi 2020 niwe nimemfyatulisha watoto 5, wanaume 3 na wakike 2. Ila mke wangu amepinga agizo hilo la ufyatuaji na kwamba anendelea na zoezi lake la uzazi wa mpango. Sasa kwa ukaidi huu wa agizo la mkulu umenifanya nifikirie mara mbili aidha nimtumbue au nimfanyeje
Nipe namba zake mkuu nikusaidie kuongea nae alegeze msimamo.usiwe na wasiwasi ww nipe namba zake tu mkuu
 
Back
Top Bottom