Nipe namba zake mkuu nikusaidie kuongea nae alegeze msimamo.usiwe na wasiwasi ww nipe namba zake tu mkuuHabari wanajamvi?
Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga kuanzia leo hadi 2020 niwe nimemfyatulisha watoto 5, wanaume 3 na wakike 2. Ila mke wangu amepinga agizo hilo la ufyatuaji na kwamba anendelea na zoezi lake la uzazi wa mpango. Sasa kwa ukaidi huu wa agizo la mkulu umenifanya nifikirie mara mbili aidha nimtumbue au nimfanyeje
Hapokei mkuu0784 000 000
Duh, weka vizuri maelezo yako sijakusoma, kwanini unadhani sina mke?