MKE WANGU ANAPINGA AGIZO LA MUKULU

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wanajamvi?
Katika ziàra zake akiwa Kanda ya Ziwa Mukulu alitoa agizo kwamba katika kipindi chake tufyatue tuwezavyo. Agizo hilo mimi nililipokea kwa furaha kwa mikono miwili, na nilipanga kuanzia leo hadi 2025 niwe nimemfyatulisha watoto 5, wanaume 3 na wakike 2. Ila mke wangu amepinga agizo hilo la ufyatuaji na kwamba anendelea na zoezi lake la uzazi wa mpango. Sasa kwa ukaidi huu wa agizo la mkulu umenifanya nifikirie mara mbili aidha nimtumbue au nimfanyeje? Unajua agizo la mkulu ni sheria? Maoni yenu tafadhari
 
angalau ukileta hoja ikaribie na uhalisia, watoto 5 kwa muda wa mwaka na miezi kadhaa uzao wako ni wa German shepherd?
 
Mods naomba mfute mmoja, network imeleta shida kidogo
 
We unawezekana hata mke huna kwa namna ulivyoandika.
 
piga chini huyo mbuzi, opoa zaga jipya atakaye endana na kasi ya mukulu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…