Mke wangu anapitia wakati mgumu sana hadi nimemuonea huruma

Sio mbinu rahis kama unavyozani Mula
 
Utaenda mbinguni.
Ingekuwa mimi ndio basi tena
 
Umeenda vizuri ukaharibu mwishoni.

Kama uliamua kumsamehe baada ya kukiri ilitakiwa umlambe makofi kadhaa kwa hasira ndio umpe onyo. Ulivyo samehe kilaini hivyo ndio maana bado haamini kama kweli umemsamehe.
Ukimpiga kofi litafuta misuguano na vikojezo alivyokojolewa?

Ikiliwa imeliwa mkuu hakuna kurudisha nyuma.
Una maamuzi mawili tu
..
Kumwacha au
Umsamehe basi
 
Subiri kuchapiwa Tena utarudia hapa
Lazima ule utamu aurudie tena, ila this time kwa siri kubwa - ha ha ha

Nakushauri - kama umemsamehe ni vizuri mfanye awe rafiki yako jitahidi kumpa mapigo ya kisasa kitandani bila kumuonea huruma, hakikisha anaridhika kabisa. sisi wanaume wengi huwa tunafeli hapo, akichepuka ujue kuna sababu tena kubwa, wanawake si kama sisi wanaume ambao naweza kutoka sababu ya kalio, jicho, ziwa dodo, komwe nk.
 
FUKUZA HUYO HARAKA
 
says mtu mwenye MCHEPUKO WA KUDUMU na kudumu na kudumu tena.
 
Hakunaga siri kwenye kuchepuka, akirudia tena atajua tu... na akingundua tena ndo amtimue moja kwa moja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…