Mke wangu anataka kujiunga na chama fulani cha siasa. Nina hofu sana

Una kazi na hapo mwenyekiti wa ccm akianza kumla ukimpinga akuua wew Cha msingi Anza kujiengua taratibu
 
Mimi ninge mruhusu ,
Lakini najua Akisha pata cheo Tu uko.

Ndoa basi , lazima ata cheat na wasure & then ndoa inavunjika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…