Mke wangu anataka kuniua

TEAM 666

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2017
Posts
4,399
Reaction score
8,594
Habari wana JF,

Kwa hili analolifanya mke wangu amezamiria kuniua, toka nimerudi safari mke wangu anataka kila siku tupige mechi sio mchana wala usiku hii weeks tumesex zaidi ya mara 20, hapa sina hata nguvu ya kwenda kazini na yeye muda wote amelala, alafu kibaya zaidi tunakaa nyumba ya kupanga, kelele zake za kitandani zimezidi hadi wapangaji wanakerwa.

Naombeni msaada wana JF.
 
Pole sa





Pole sana mkuu ila mwambieh tu tukifanya hv bila ya kufanya kazi tutaishije
 
Nakushauri mlete aje akae likizo kwangu akirudi kwako utakuwa umepumzika vya kutosha, hiyo inapendeza sana
 
Bro, hebu mlete kwangu nizungumze nae kwa wiki moja kisha utamfata.
 
Huyo alikua ana michepuko, ivo anakuzuga ili ionekane hakua na michepuko.
 
Thread za kingese namna hii Sijui kwa nini nazionaga msiiiiiieeew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…