monotheist
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 887
- 1,596
Hadi mtu anakuwa na ukoko,wao wapowapo tu.Acheni umalaya, acheni uchafu, mpeleke hospitali haraka sana huko watakupa majibu ya uhakika kuliko hapa
πππππ ila supapawa!Ewe mada unaamini kabisa mtu kama BICHWA KOMWE - au Mbaga Jr ndiye akupe ushauri wenye manufaa?
Au ni kwamba unatafuta kuumizwa roho asubuhi asubuhi?
Vipi bibie, za siku nyingi!πππππ ila supapawa!
Kweli aisee.. wanawake sio wa kuwaamini kabisa. Unaweza kukuta mwanamke ni mmoja ila anaweza kujiweka kwenye maumbo1825Mchungulie ili ujirishishe inawezekana anakudanganya
Ahahaha unarudi lini kwenye ile ID yetu ya kila siku my dia?Vipi bibie, za siku nyingi!
I'd gani dear.Ahahaha unarudi lini kwenye ile ID yetu ya kila siku my dia?
πππππππππ«¨π«¨π«¨I'd gani dear.
ID yangu ni hii tu bibie. Nilikuwa nakusoma sana nilipokuwa guest.πππππππππ«¨π«¨π«¨