Mke wangu anatokwa na uchafu mweupe kwenye uke

tatizo la wabongo mkienda hospitali mnaenda na pesa ya kucheki mkojo tu hili hali unajiskia hovyo.

ukikutwa huna shida kwenye mkojo unapaswa kupima vipimo vingine.

huyo ana maambukizi ukeni sasa kunuka na uti wapi na wapi?

shombo ya samaki inatibika iwa dawa za kuweka ukeni 7 days hupaswi kumtomba mpaka amaliE dozi. hiyo hali inapotea.


kitu iibachopelekea hali hii ni iupenda kumwekea vitu visivyofaa mfano mate, kumchoma vidole kwrnye key wakati ulipapasa mkund..


kifupi ni mavi kuingia ukeni na uchafu wa kutooaha vizuri n.k.


Nenda duka la dawa nunia dawa ya fungus ya kudunbukiza zipo zile za 10k ni bora kuliko 5k zina maua flani mekundu unampa dozi ya siku 7.


Hutasikia shombo la samaki usipende kumgusa gusa mkia. Ogeni vizuri before sex.


acha kuzama chumvini
 
Fanyeni uchunguzi wa kina, na mzingatie usafi
 
Me nikisema watu wanafanyana matusi tu mnanibishia.
Hebu kamtibu mkeo apate vipimo sahihi na matibabu sahihi! akipona muanze kufanya mapenzi.
Atakusikia dada kwanza huyu huenda ni mvuta ugoro na pia huyu ni mke wa pili wamekutana kwenye vilabu vya gongo siyo bar
 
Mchape
 
wewe tatizo lako ni kuwa hujaenda shule. mbona hujauliza kuwa mke wako anatoa kamasi kwenye pua? Utakuwa mtu wa pwani...makabila ya pwani
 
Dm apate dawaa inaendaaa kutoaa kabs uchaf mweupe na harufuu mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…