Mke wangu anaweza kupiga Mluzi lakini Mimi siwezi

Mke wangu anaweza kupiga Mluzi lakini Mimi siwezi

jkipaji

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2019
Posts
6,963
Reaction score
9,401
Eti wife wangu anaweza piga na kuimba kwa mluzi tu na msg ya nyimbo naipata kiasi fulani hivi!

Hivi hii imekaaje?

Mbona mimi siwezi,na nikijaribu siwezi kabisa!!
 
Inatakiwa uwe unakula kwanza ndo unavuta

Hivi vitu bila mlo tutakukuta unatumbuiza mbele za watu bila cotton filter
 
Yaani hapo tayari uanaume wako una mashaka
 
Back
Top Bottom