Tuwe wakweli jamani, majaribu ya mashemeji ni tatizo aiseeee!!!! Unakaa na shemeji amejaaliwa kwa kila kitu though na mkeo amejaaliwa lakini kwa sisi tuliooa wafanyakazi kila siku wanakwenda field!!! Uuuh!!! Analala huko siku tatu siku nne ndo anarudi na mara nyingine wiki nzima ye yuko field home umebaki na shemeji, unaamka asubuhi ujiandae kwenda kazin baridi inapuliza unamkuta shemejiyo kavaa kikanga kimoja anafanya usafi!!! Unamkaripia akavae anakuchekea eti anakujibu `jamaaan shem hivi ndo nakuwa free kufanya kazi`, **** hilo, hips hizoo, kifua usiseme then unaona kabisa kashanga kalikopitia!!!!
Cha ajabu dada yake akiwepo havai hivyo, anavaa vizuri tu!!! Ukimwambia dada mtu kuwa huyu dogo tumlipie hostel akakae huko huko chuo anakataa anadai ataharibika akae hapa hapa.
Tabia nyingine hizi za kupretend uzungu, ukirudi kutoka kazin wanakurukia rukia utasema watoto huku dada mtu amekaa pembeni anashabikia tu!! Mbaya sana kuna wakati uvumilivu unaisha jamani!!!