Mfano Wamachame, Wachaga na Wapare. Wanauaga waume zaoYeah_suali la msingi sana hili,..maake kuna makabila mengine hawaridhiki mkuu...wengi tu wahanga wa hili
Mrejesho jombaa ulifanikiwa kurudi Bongo? Ulikuta ameporomosha nyumba kwao?mnachokisema ni kweli ila wazazi wangu wanamtetea sana..hata sijui hawewapa nini?
Subhanallah! watu tunatamani wenza hata wa kuchangia elf 50 tu kwa mwezi na hawapo sembuse 1.8 mil na ana mshahara.Niko nasoma nje ya Tanzania huku nifanya kazi katika company fulani nikilipwa mshahara dollar 1,800 kwa mwezi,najigharamia mwenyewe masomo yangu kwa 50% nyingine ni sholarship na gharama nyingine za maisha.
Nimeacha mke na mtoto mmoja nyumbani.mke wangu najitahidi kumtumia dollar 1,000 kila mwezi.yeye anafanya kazi katika shirika fulani Tanzania na anapokea mshahara kiasi fulani mara zote analalamika pesa ninayomtumia haitoshi imagine juzi nimetuma kwa exchange rate ya Tanzania alipokea kama Tsh,1,800,000 bado ananipigia cim na kunigombeza pesa haitoshi kwenye matumizi yake ya maisha na mtoto sasa jamani huyu ni mke au mzigo?nimemweleza hari halisi ya maisha ya huku haelewi naishi kwa kujibana ili kile kinachopatikana tukiserve lakini wapi.nahisi kama nilikosea kwenye uchaguzi au anafanyia nini hiyo pesa ya kila mwezi au anaamua kunifanyia ushenzi tu.nimemwambia kuna watu wanalia mchana na usiku wanakosa bahati kama hiyo lakini haelewi.ila ninafikiria kumchukua mtoto wangu akalelewe na mama yangu mzazi au nimchukue nihishi naye ..nahisi huyu mwanamke nimzigo tena haubebeki..nasiyo kwamba kuna assets za ndani ananunua nyumba hiko full hadi usafiri nilimpatia wa kutumia.
Jamani mke wa namna hii nimfanyeje?
njoo tuunganishe chemistry new gal hata mke wa tatu sio mbaya eti..Subhanallah! watu tunatamani wenza hata wa kuchangia elf 50 tu kwa mwezi na hawapo sembuse 1.8 mil na ana mshahara.
Huyo atakua anafanya matanuzi ya kufa mtu, na mashoga zake wamemtia ujinga kuwa mtu akiwa nje ana hela, heri ukose vyote lakini sio mke aliyekosa maarifa. Hiyo hela inatosha wewe kurud kukuta nyumba imeisha ndani ya mwaka. Amka kaka hapo hakuna mwanamke. Lea mwanao kwa mama kama ulivyosema!
Mtoa madaa km bado upo jamii forum tupe mrejesho
Tuandikie stori yako!Tuma tu nyumba ya wazazi kamaliza sasa hivi anajenga yenu akikusumbua ujue mafundi wanamzingua hata mke wangu alinifanyia hivyo hivyo
ASA astuke nini?? Thread ya mwaka 2011 unataka astuke leoMkuu shtuka mapema kuna namna zamani niliwahi kuwa mkoani kikaz kwa miaka miwili mitatu hivi mke wangu alikuwa anafanya kazi na analipwa kama 400k mimi nikawa namtumia 500k kutoka mshahara wangu so inakuwa kama 900k hivi kwaajili ya matumiz yake na mtoto na anatumia mwez mzima bila kuniomba hela ya ziada huyu wako vipi au ndo mafuta yamepanda bei maana mimi sikuwa na usafir wakati huo???
mi mitara siwezi nna wivu nyegele akasomenjoo tuunganishe chemistry new gal hata mke wa tatu sio mbaya eti..