Mke wangu habebeki...

Huyo ni mke wa ndoa au ni mchepuko tu?
 
Hiyo ni indication mbaya juu ya mahusiano yenu...kama wakati uko nyumbani ulikuwa unampta kiasi hicho na kinatosha...au chini yake na kinatosha..jua kuna mwenzio huenda anakula vyako....mi nakudhauri uache kutuma kwa muda kidogo..uone atavumilia au atakuacha? Kuna mwenzio juzi hapa..karudi kakuta mwenza anadalali mla vya watu...

Hela na gari alituma kwa wife..dalali amejiandikisha..na bado anampelekesha wife aitishe hela zaidi.jamaa aliamua kurudi kimya..nahisi watu waliumtonya....akamwambia abaki na dalali..na yeye atatafuta wake.sa hz dalali kamkimbia..hela wala gari hana. Kwa hiyo kaa macho..ukiona mwanamke ananguruma..jua anatiwa ujeuri huyo.
 
Kabisa aisee. Hapo ukute anajenga kwao.
 
Hilo zigo la mawe mwanamme mwenzagu.. ni vizuri umelifaham mapema. Tupa shimoni mapema kabla haĺjakuua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…