Mke wangu hajawahi kuniambia ananipenda

kama hukupendi mbona alikubali koana nawe, mapenzi ya kizungu ndio ya kuambina nakupenda, uafrika hauna hiyo na kamipo tumeiga. muhimu ni upendo wake kwako nasio maneno ya kutamkiwa. zingatia ushauri uliopewa na wanaJF.
 
Nadhani wakati mlipofunga ndoa alisema 'nakupenda' sasa Newton's fist law of motion ;'a body will continue in its static state or in motion until an external force is applied'.
Kwa hiyo we amini anakupenda bado mpaka atakaposema sikupendi.
Wait! have u ever asked yourself kama kaweka nadhiri kwamba akifanyiwa kitu fulani na mmewe ndo atalisema hilo neno?
 
Mkuu hilo ni tatizo dogo sana na lisikufanye ufike mbali kiasi hicho kitu cha msingi jenga mazoea ya kumwambia unampenda na yeye atazoea kusema anakupenda lkn km wewe hauna desturi ya kumwambia unampenda usitegeme atakua na desturi ya kukwambia maneno hayo.
 
unamaneno machafu kwa mkeo, jirekebishe

Umeona enh! Jamaa anataka kusikia "neno" wakati matendo ndio halisi.
Tumsaidie tu ndugu yetu Jamii; ukiambiwa "nakupenda" na njemba-dume mwenzako mtaani utakuwa tayari kumuacha mkeo?
 
lakini nikiambiwa hivyo bado najisikia faraja kuliko chochote kile akifanyacho..

Tatizo lako unapenda kusikiliza kuliko kuona, shauri lako kijana utakuja juta.
Mtake radhi mkeo na umueleze "hilo tatizo" la kupenda kuambiwa I love you. Wadada usipowaambia I love you kwao inakuwa tatizo, lakini kwa mwanaume hilo haliwezi kuwa tatizo.
Unamwonaje mkeo? Hatimizi huduma muhimu kwako?
Ongea na mkeo na mtake radhi.
 
kwani vtendo vyake vnaonesha anakupenda au!!??!!! maana hlo neno ni zito kwenye baadh ya midomo ya watu!!
 
Kosa ulolifanya ni lugha ulotumia kumrekebisha mkeo; mtu mzima hatishiwi nyau.


Lakini na mimi ni mmoja wa watu nayependa kupendwa kwa matendo na maneno pia si kibubu bubu.

Ila najaribu kujiuliza wewe ukimwambia mke wangu nakupenda sana wife anajibu nini au anakutazama tu.

AU usije ukawa unataka uambiwe unapendwa wakati wewe usemi kuwa nakupenda mke wangu. Nijuavyo hata kwa wale introvert personality bado wakiambiwa nakupenda watajibe 'na mimi pia' badala ya 'nakupenda pia'

Watu wasiopenda kuonyesha feelings zao wazi (ma 'introvert,) wapo na kuna studies zinaonyesha ni more than 60% ndio maana wengi humu wamekushambulia; inaweza ikawa ndivyo walivyo au kuna sababu katika makuzi na life experience zao. Ni kweli they are most boring partners to be with. Jaribu taratibu na kwa upendo kumfanya awe wazi kwako.


lakini nikiambiwa hivyo bado najisikia faraja kuliko chochote kile akifanyacho..
 
Mme: I love you darling (ich liebe dich)
Mke: I love myself too (ich liebe mich auch).
 
some people cant say it
when they do love someone
 
Mkuu!! Nakupa miezi si zaidi ya miwili kama usipobadilika...atabanduliwa tu! acha mambo ya kihindi. I love U..I love U...Kama muda huu ukipita na akatamka kwa hiyari yake, Ujue tayari wamekubandulia..
 

Mpaka umefikia umri wa kuoa bado huna akili mkuu?!!

Samaki alioko kwenye kapu tangu lini akapewa chambo? Chambo ni kichocheo tu cha kumfanya samaki ameze ndoano, akishameza huwa inatolewa.

Labda nikuulize, wewe bado unamhonga honga na kumtoa out?
 

Hivi ujanja woooote huu wewe ni MNGONI, duh! Kweli maulana anajua kutoa adhabu. Kwa kiburi changu mimi ningezaliwa mngoni ningejinyonga
 
Hivi ujanja woooote huu wewe ni MNGONI, duh! Kweli maulana anajua kutoa adhabu. Kwa kiburi changu mimi ningezaliwa mngoni ningejinyonga

hahahahhahaha naona mwenzio nimependelewa na huyo maulana!
 
Una maanisha nini Da Womanizer ????? Lakn kweli wewe unaona mtu kukupenda mpaka aseme seme kila wakati??

Unajua hiyo 'I LOVE YOU' ni kama hiki kitufe cha kugongea 'like' hapa JF. Ukigonga like kadhaa kwa siku kanatoweka. Sasa huyu jamaa kila siku wenzie wanamuwahi kwa kuchelewa kwake kurudi nyumbani. Hajui kuwa kuna watu huwa wanatembelea boma yake in his absence
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…