Mke wangu hanisikii



Katika washauri wa makmbo ya ndoa wewe unastahili...TEAMO huwa ana msimamo kama wako.
HATUJUI ANACHOMPENDEA- SO HATUWEZIMSHAURI AMUACHE.

On second thought............mtoa mada ameomba tumshauri namna ya kumwacha mkewe au amelalamika tu kuwa mke hamsikilizi???

Kaa chini ongea na mkeo, mweleze usiyoyapenda na yeye akueleze anayoyataka, muya-table na kupanga namna ya kuyatekeleza. Mawasiliano ni muhimu MUME na MKE COMMUNICATION ni muhimu sana.
 
amezoea kuachika huyo haoni ajabu kwa hilo ndo hulka yake akimchoka mume hamthamini kama mume bali anakuona kama hawara tu,kuna jamaa anamzuzua hakawii kureplace position yako mkuu,utabembeleza yataisha lakini yatarudi tena wakati mmeshazaa na kuwapa watoto taabu ya dual citizenship
 
Kama hasikii unamsemesha wa nini? Mpe Ishara

Kunguru Hafugiki Mwachie haraka sana akajitafutie popote unapoteza muda fasta changamka...
 
pole sana ndugu yangu, natamani hiyo nafasi yake
 
Huyo mwanamke anataka umsaidie ila hatumii njia nzuri ya kukuomba msaada, hana maana achana nae tafuta mwingine. usikute karudiana na mumewe wa kwanza
 
Ulikurupuka ndugu yangu! Mwenzio kaacha hata hujajua kaacha kwa sababu gani? wewe ukanyakua visivyonyakulika! sasa unalo! Kwa kuwa huna mtoto naye bora umuache mapema maana utachakachuka mpaka basi
 
katikaa vitu vigumu ni kuowaa mke au mume aliachikaa...wengi wanaachikaa kwa visirani huyo wako chunguza aliachika kwa kitu gani...je kweli alipewa talaka au ndo alichomoka tu akakupata ukavuta ndani sasaa hivi unaliaa.pole sanaaa...ila sio ndoa hiyo ndoano
 

Hivi huwa unasikitikaga nini mpendwa?
 
Sikubali nikae kimya....mwanajamii nina hofu na wewe waweza kuwa chanzo cha tatizo lako na hasa katika uteuzi wa huo ubavu wako je, ulipata nini sababu ya yeye kuachika na mume wa kwanza?huenda alishindana nae kitabia upo?...na jingine la kutambua sio watu wote wanatakiwa kuoa au kuolewa huenda Mungu alipanga wakae bila waume au wake na ndio maana katika uteuzi yapaswa umshirikishe Allah{swt} ili upate kilichobora okey naomba ujue hujaja hapa duniani kupata tabu kama ni ndoa ya ruhusa kuacha mwache abaki kwa dada yake na talaka imfuate huko..na kama ndoa ya kutokuacha na yeye aliachwa basi si mke wako ni wa yule aliyemwacha..... nadhani niache ukumbi wakati huo huo nahisi kama ulimpenda sana maana kisheria kutoa mimba ni kuua na kuua ni mada kwasababu ameua hata sindwa kukua hata wewe.TAKE CARE MAN..
 
Achana naye huyo,atakuua bure!mwenzio nilishaweka nadhiri ya kutokuoa aliyeachika ama aliyekwishazaa!

Kuna walioolewa wakaachika kwa sababu za msingi na kuna wasioolewa bado ila wana mahusiano sawa na walioolewa tu isipokuwa hawajakwenda kuhalalisha. Kuna waliozaa watoto wakalea na kuna wanaotupa watoto vyooni kila kukicha ama kuwatupa wakishawazaa lakini mi naona wote ni wale wale tu.

Sasa tofauti hapo ni ipi? Cheti kwamba aliolewa ama alama gani kwamba hakuwahi kuolewa? Na wale wanaozaa wanalea kwa utu na mapenzi wanabaki na watoto wao wakionekana wapo duniani, na wale wanaotoa mimba na kutupa watoto, kwako hapo tofauti ni ipi?

Muombe Mungu akusaidie vinginevyo, vigezo hivi ulivyoweka utajikuta umeangukia huko huko kubaya zaidi, kwa kudhani njigi si njege kumbe tui la nazi na maziwa.
 

Wala si hivyo hayo ni mawazo yako mazuri tu but kunawatu wanaachka na wanaolewa na wanaishi vyema na waume zao. huyu anamatatizo yake tu
 
pole sana man ila kuachana ni suala la ninyi wenyewe tunaweza kukushauri hapa na bado baadae tukaona umemtafuta na mnaendelea kugonga mwanzo masuala ya mahusiano huwa ni magumu sana kuamuliwa na watu wa nje!!!ila kama aliolewa akaachika nashangaa kwanini ameshindwa kujifunza namna ya kuishi na mume sometimes ni kuvumiliana na kubebeana mizigo huwa ni hatari sana hasa mmoja wenu anapojifanya kidume kwa mwenzake!ila nakuaminia najua utaweka sawa tu mambo kama ni kweli kuna mapenzi ya dhati kati yenu!
 
HUMFANYI VIZURI NDIO MAANA ANALETA DHARAU,FANYA MAZOEZI YAKUNGONOKA UNGONOKE KIUKWELI ATATULIA Mwenyewe
 
Duu hiyo ya kutoa mimba ni kali... Au ndo watoto walionekana kwenye shimo moja karibu na Mwananyamala hospitali???? Huyo mke achana nae kabisa anza maisha mapya mzee. Kila la heri
 
Pole mkuu inawezekana huyo bibie ana kasumba na wanaume pia yuko ambaye anayemfanya awe dilema ila hawezi kukuambia ndio maana umekata mawasiliano na yeye yupo kimya kwani kwa upande wake ndicho alichokuwa akikihitaji
 
Pole sana mkuu.
Ni wazi ushapewa ishara ya kutokupendeka pale alipoichopoa mimba yako.
Pili mwanamke au mwanamme akishaachika/kuacha laima tuwe makini kuchunguza kabla ya kujiingiza katika mahusiano ya mapenzi. Mfupa uliomshinda Fisi mbwa atauweza? Alifika kwako kuja kuchuma then ale kona. "She was there only to use you then dump you" ndo maana nadai anataka aende shule hali yuko kwa dadake.:msela:
 
Timua... kuanza upya si juinga... Mumbwa hafi akiona ufukwe!!
 

kaka unaumiza kichwa bure,mwanamke akishaanza ayo makeke hakuitaji tena ila anashindwa tu kukuambia mimi na wewe basi,usimsemeshe muangalie tu mpaka uone mwisho wake,ila uelewe tu uyo akufai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…