Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 14,350
- 27,420
Siyo kosa ila kuna vitu vingine inabidi kukaa tu kimya.Ni kosa kuomba ushauri
Shule mnafungua lini?Habari wakuu
Nilijichanganya kumwambia wife kwamba nataka kumnunulia iphone 12 pro ebhana ehee amekataa anasema hio hela Bora tuingize kwenye biashara anataka simu isiyozidi 300,000/=
Naombeni ushauri wenu wakuuu.
Msinione bogazi wife wangu nampenda sana nilitaka nimpe zawadi ya simu kali sasa yeye hataki.