Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Habari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo wa kumlipa ninao.Tatizo hataki kabisa kusikia suala hilo.
Kazi zinavyomzidi anashindwa hata kunihudumia mimi mambo ya faragha.Siku hizi hata raha sipati na kutoka nje naumia roho kufanya hivyo.
Maoni yenu please.