Nguva Jike
JF-Expert Member
- Jan 22, 2018
- 1,226
- 1,757
Mpelekee houseboiHabari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo wa kumlipa ninao.Tatizo hataki kabisa kusikia suala hilo.
Kazi zinavyomzidi anashindwa hata kunihudumia mimi mambo ya faragha.Siku hizi hata raha sipati na kutoka nje naumia roho kufanya hivyo.
Maoni yenu please.
Kuna kitu kinaitwa reducing and redistributing unpaid care work. Fanya baadhi ya kazi kumounguzia mzifo my wife mke wangu atapumua! Halafu mwamba wewe ni mwanaume gani unatafuta house girl? Hilo ni jukumu lako kweli? Au wanaume wa siku hizi mmekuwaje? My wife mke wangu yuko sahihi maana anaona ameingiliwa majukumu!Habari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo wa kumlipa ninao.Tatizo hataki kabisa kusikia suala hilo.
Kazi zinavyomzidi anashindwa hata kunihudumia mimi mambo ya faragha.Siku hizi hata raha sipati na kutoka nje naumia roho kufanya hivyo.
Maoni yenu please.
ukiona hivo, basi ujue wewe ndo mwenye tatizo, na mkeo analifahamu na ndio mana hataki. Wewe ndio shida, either skirt haikupiti, or uko very handsome na hua unajifanya unahuruma in everything, hivo kwa mwanamke wewe ni dhaifu sana, ukishawishiwa na hisia you can do anything.Habari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo wa kumlipa ninao.Tatizo hataki kabisa kusikia suala hilo.
Kazi zinavyomzidi anashindwa hata kunihudumia mimi mambo ya faragha.Siku hizi hata raha sipati na kutoka nje naumia roho kufanya hivyo.
Maoni yenu please.
exactly, asurudie tena, wanawake tunajijua, tutaanza kuhusi hivi ananichukuliaje hadi aniletee housegirl? kwamba me ni mvivu au mchafu? au anataka aniletee mke mwenzangu? aah hata me nagoma, japo namuhitaji[emoji1]Ungejua kuwa wanawake usiwathubutu kuwaambia tafuta mwanamke aje asaidie kazi basi usingethubutu kuufungua mdomo wako
Ni wajibu wake kukuomba aajiri kuliko wewe kumuambia
Usirudie kosa maishani na wengine mjue hili
Majukumu ya nyumbani ni mama mwenye nyumba wewe ni kutafuta tu
Kama unamsaidia kazidiwa na kazi sawa ila sio kumpa ushauri wa msaidizi
Wahenga tunalijua hiliexactly, asurudie tena, wanawake tunajijua, tutaanza kuhusi hivi ananichukuliaje hadi aniletee housegirl? kwamba me ni mvivu au mchafu? au anataka aniletee mke mwenzangu? aah hata me nagoma, japo namuhitaji[emoji1]
Yani hiyo "hata raha sipati" ameisema kwa uchungu mkubwa sana.. ... hata raha sipati ...
Itakuwa kuna nyumba waliweka msichana halafu ikaleta tabu ndio anaogopa. Maana mara nyingi tumeona wasichana wanaharibu ndoa za watu, wengine wanatesa watoto, wengine wanachinja watoto kama ile iliripotiwa miezi michache iliyopita na kadhalika. Yawezekana ana hofu juu ya mambo kama hayo....japo wasichama wema pia wapo.Habari za jioni.
Direct kwenye mada.Mke wangu dhahiri kabisa namuona anazidiwa na kazi za ndani huku akiwa na mtoto mmoja.
Nikapata wazo nimtafutie msaidizi wa ndani ili kumpunguzia kazi uwezo wa kumlipa ninao.Tatizo hataki kabisa kusikia suala hilo.
Kazi zinavyomzidi anashindwa hata kunihudumia mimi mambo ya faragha.Siku hizi hata raha sipati na kutoka nje naumia roho kufanya hivyo.
Maoni yenu please.
Vijana wa siku hizi hawa wa haki sawa wanajipa majukumu ya wanawakeUngejua kuwa wanawake usiwathubutu kuwaambia tafuta mwanamke aje asaidie kazi basi usingethubutu kuufungua mdomo wako
Ni wajibu wake kukuomba aajiri kuliko wewe kumuambia
Usirudie kosa maishani na wengine mjue hili
Majukumu ya nyumbani ni mama mwenye nyumba wewe ni kutafuta tu
Kama unamsaidia kazidiwa na kazi sawa ila sio kumpa ushauri wa msaidizi
Utakuta wengi wao wake ndio wanawahudumia na hata kama anatoa mchango basi anapangiwa piaVijana wa siku hizi hawa wa haki sawa wanajipa majukumu ya wanawake
Uzi ufungwe.Amka usiku saa 10 fanya usafi wa nyumba, osha vyombo, fua nguo, pika! Ikifika muda wa saa za kwenda job utakuwa umemsaidia pakubwa mamsapu wako na ukirudi utakuta msafi wa kufurahia mbususu!