Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.
Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.