Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

busness

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
27
Reaction score
9
Miaka mnne nyuma nilizaa na mdada wa kimachame kiukweli nilimpenda sana baada ya kumaliza masomo niliamua kukaa naye cha kushangaza akaanza kutembea na jamaa zake yaani wachagga wenzake. Nikamkarisha kikao na ndugu wakamwonya kwa tabia zake tukaendelea kuhishi kwa taadhali kubwa.

Baadaye nikapata kazi mkoa mwingine nikamfungulia kijiwe cha biashara maana muda wote aliikuwa akikaa ndani, cha kusikitisha siku niko job kasomba vitu vyote na mwanangu. Baada ya kuwapigia ndugu zake hawakuchukua hatua zozote wakidai hawajui alipo nikasikia yupo kwa mamamdogo wake Dar, kumpigia simu akasema hanitambui hivyo nisimsumbue. Nahitaji mwanangu nishauri nifanyeje kumpata maana ni damu yangu na nampenda sana.
 
ni kawaida kwa hao watu kufanya hivyo....Na ukizembea hata mtoto hupati,wanakatabia ka kuiba watoto...
 
Kama barabarani sio mahali salama pa "kuokota" wanawake wapi salama pa kuwaokota?

Hivi wanawake wanaokotwa?

Aisee watake radhi dada zangu dogo

Laa sivyo patachimbika hapa!

Pole Bro,

Ujue kuna sura ukikutana nayo unajua tu huyu kibaka kama vibaka wengine wa stand...sasa huwezi kumuamini na kukaa nae ndani kama mke alafu pia si unaona kwa ndugu wa "demu" hafahamiki?! So Kamuokota...

Wadada ambao hamjaokotwa poleni kwa kuwa +!
 
Hujakuwa tayari kuishi na mwanamke, wakati wako ukifika utampata wa kuendana nawe!
Ni wakati huo huo utakuwa umeshafuta inferiority mind za kijinga "...akatembea na wachaga wenzake..." kwani wakati ukimmendea kabila lenu halikuwa na vigoli?
 
miss chaga hivi wamachame na wachaga ni "wamoja"?!
 
Last edited by a moderator:

Nani amekuambia kuwa wazazi wake hawafahamiki?
 
we kabila gani!!!!!!!!!!!!!!

maana ulihisi usipotaja makabila humo ndani tusingekuelewa
 

Huyo jamaa amesema "mwanamke sio mtu ni kiumbe dhaifu"

Hiyo kauli inaonekana imetolewa na mbumbumbu tu

Unajua kwanini?

Kwasababu mwenye ufahamu mzuri hawezi kusema "mwanamke sio mtu ni kiumbe dhaifu" kwasababu atajua tu kuwa "mtu" nae ni kiumbe

Kama mwanamke ni kiumbe basi ni mtu
Hawezi kuwa mtu halafu hapo hapo asiwe kiumbe

Unaposema "sio mtu" unakuwa unazungumzia kitu kama jiwe hivi au paka kwasababu paka ni kweli sio mtu lakini ni kiumbe

Umeona sasa huyo jamaa alivyokichanganya?
 
mwanamke si mtu ni kiumbe dhaifu

hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…