Mke wangu kaiba vitu vyote ndani kaondoka na mtoto na sijui alipo

sio lazima aseme biblia sio erick shigongo,you,have to read and compute at holy side of the page but not read read like a magazine the bible makes you think big and praise the holy not spoonfeeding and argue jf

Umeandika lugha gani hii dogo?

Kiswahili kinakushinda Kiingereza ndio utakiweza?
 
Sijaona mahali Mungu amesema kuwa mwanamke sio mtu

Sijaona mahali ambapo Mungu amesema kuwa mwanamke hana akili!

unajaribu tu kutaka kuwaonyesha wanawake wa jf kua ww sio mbaguzi wa kijinsia. Sawa hakuna palipoandika mwanamke sio mtu,biblia inasema Mungu alimuumba "mtu mwanaume",,sasa wewe niambie wapi pameandika Mungu alimuumba "mtu mwanamke" kama hakuna ina maana Mungu hakuumba kitu kinaitwa "mtu mwanamke" kwa hiyo mwanamke sio mtu

bila kutafta sifa huo ndio ukweli wala hakuna tafsiri tofauti na hiyo. Tuyaachie hapo.
 
Nikimaliza kupika ntarudi ila ukitaka kampan ya kwenda machame kumsaka bebiiii ntakuescot sawa Shem wangu
 
Umeandika lugha gani hii dogo?

Kiswahili kinakushinda Kiingereza ndio utakiweza?

umejuaje ni kiswahili?,
utaweza kukifanyia nini?:mbona unakwepa mada SIO MTU NA HATAKUWA MILELE.
 

ASANTE MKUU HESHIMA CC. Eiyer
 
Last edited by a moderator:
Nimekumbuka kisa cha rafiki yangu alimuachia mkewe mpaka pesa ya kulipa kodi ya mwaka kwa mwenye nyumba, huku nyuma mwanamke kaleta fuso na kupakia kila kitu na majirani wakimsaidia wakidhani wanahama, kumbe anamkimbia mumewe. Jamaa kurudi nyumba nyeupe hakuna kitu kibaya zaidi mpaka kodi ya nyumba imechukuliwa hana pa kuishi na pakuanzia,! Wanawake hawa tuishi nao kwa akili sana..
 
Aliesema mwanamke dhaifu nae f.a.la tu kama m.a.fal.a wengine
 
Aliesema mwanamke dhaifu nae f.a.la tu kama m.a.fal.a wengine
sijasema nimeandika,
---f-ala sio mtu kama mimi anayeandika mwanamke ni dhaifu kwa defintion.
Ni kweli tena dhaifu kweli kweli
 
Usilalamike sana baba mlezi, mama mtoto kamrudisha mwanae kwa baba yake mzazi
 
unajaribu tu kutaka kuwaonyesha wanawake wa jf kua ww sio mbaguzi wa kijinsia.
Una ushahidi wa hili?

Kwanini wawe wanawake wa JF na sio mahali pengine?
Ni kwanini umefikiria hili ni suala la wana wake na sio la kibinadamu?
Sawa hakuna palipoandika mwanamke sio mtu,biblia inasema Mungu alimuumba "mtu mwanaume",,sasa wewe niambie wapi pameandika Mungu alimuumba "mtu mwanamke" kama hakuna ina maana Mungu hakuumba kitu kinaitwa "mtu mwanamke" kwa hiyo mwanamke sio mtu
Una matatizo wewe

KUtokuwepo mahali ambapo Mungu amesema kuwa mwanamke ni mtu haina maana kuwa mwanamke sio mtu
Usichanganye hayo mambo mawili

Lakini hiyo haimaanishi kuwa hakuna mahali ambapo Mungu amesema mwanamke ni mtu

Mwanzo 1:27 inasema
27 Mungu akaumba mtu kwa mfano wake, kwa mfano wa Mungu alimwumba, mwanamume na mwanamke aliwaumba.

Hapo Mungu anasema kuwa wote aliwaumba kwa mfano wake,kama mwanamke aliumbwa kwa mfano wa Mungu na mwanaume nae hivyo hivyo watakuwaje na tofauti za hovyo unazotaka kuzileta?

Pia tazama mstari huu
Mwanzo 2:18
18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.

Mungu anasema hapo kuwa anamfanyizia Adam msaidizi wa kufanana nae
Unajua maana ya kufanana wewe?
bila kutafta sifa huo ndio ukweli wala hakuna tafsiri tofauti na hiyo. Tuyaachie hapo.
Anaetafuta sifa ni nani sasa?

Kama kitu hukijui ni bora ukakaa kimya tu!
 
hapo mwanzo Mungu akasema na tumuumbe mtu,wakamuumba adam,mwanamke sio mtu,sio yeye alieumbwa na Mungu,,pili Biblia inasema ishini na wanawake kwa akili,ikimaanisha wanawake hawana akili(hayo ni maneno ya Biblia,sio yangu)

sasa anakuja omba ushauri wa nn kama anajua huyo uliekua nae hakua mtu, wewe kama ulizaliwa na mnyama(mamako) then ukawa mtu, endelea tamka utumbo.
 
umejuaje ni kiswahili?,
Nini ni kiswahili?
utaweza kukifanyia nini?
Kuandika kwa ufasaha
:mbona unakwepa mada SIO MTU NA HATAKUWA MILELE.
Mada inazungumza kuwa mwanamke sio mtu au inazungumza mwanamke aliyeondoka kutoka kwa mazazi mwenzie?

Kati yangu mimi na wewe ni nani anaekwepa mada?

Naona napoteza muda tu hapa

Kila la kheri!
 

Mkuu nimeomba poo yaishe! Hayo hayana mshindi,lakini pia sio mada ya leo,,nisamehe bure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…