Hao wanaovuna chai ni kama wana-CCM walipata wasaa wa kufanya maigizo.
#KATAA NDOADume rijali la jf naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
jamaa kwani kwani wanawake wameisha, shida unaogopa kuumia kwa upweke na ushamzoea...lakini kumbuka kwa stage aliyofika si mkeo tena huyoDume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Nashangaa. Hii ndio ilikuwa solution naye amlale mke wa jamaa alafu afukuue hiyo takataka nyumbani.Mke wa huto jamaa hafai kwa matumizi?
Kataa ndoa,kipigo si ishuDume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!