Mke wangu kamganda mme wa mtuu! Ushauri jamanii

Hakua chaguo lako
 
Weka mtego wabananishe kisha ufumue marinda ya huyo fala tena mumpige mande mbele ya huyo malaya unaemuita mke.
 
Mim kusumbuliwa kidogo ni kwao
Mungu wengine aliwaumba na moyo wa nimrod
 
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Unampiga🤣🤣🤣😂

Unamlazimisha kuacha kuzini wakati yeye alishasema ni bora akuache wewe.

Mwambie umekubali umuache akaolewe na huyo mwanaume.

TatIzo umekuwa dhaifu mno.
 
Mtafutie vumbi uyo mkewako siku akijaa mpe show kabambe na makofi juu kwenye makalio yake
 
Hizi mada zina wahusu CCM wa JF sana maana ndio maisha yao
 
Nipe namba ya mke wa jamaa nimle haiwezekani ndugu yangu ufanyiwe hivi
 
Tafuta mke wa mtu nawe umgande, mbona simple tu unakwama wapi jomba
 
Kwa kweli kwanza pole,pili nenda jwa viongozinwako wa dini mlipofunga hiyo ndoa ili upewe muongozo kuhusu ufanye nini
 
Mdau kama hii sio chai kama zile za shemeji yangu Binti Sayunii basi tambua hauna mke hapo.. na kitakacho endelea ni kudhalilika kwenye jamii.. hawezi kuwa mke wa mtu anatoa uchi kwa makusudi kiasi hicho na wewe unajua. Kosa ambalo wanaume wengi tuna fail ni pale tukisha fumania the so called wanawake na kuwa samehe.
My take, watoto hao 3 ndio ndugu zako ila huyo uliye zaa nae ana ndugu zake utakuja kupata presha na kufa kama mbwa wa garage.

Wahadha ssalaam wa afuwa minkum
 
Si mbadili wake?
Kwa Dini yangu huyo ni talaka, ila kwa wewe sijui maana inaonekana una uzungu mwingi.

Yaani una moyo mpaka wa kumfuata mwanaume mwenzio na kumuomba amuache mkeo daa
Aisee hii ni chai ya bila maji
 
Kila siku tunawaambia hamsikii.

Dawa ya mwanamke mzinzi ni kuachana naye, hata kama unandoa ya miaka 20 na watoto 7.

Acha mke Malaya aendelee na umalaya wake, utakuja kuua Bure uishie jera. Mke akishatombesha nje, hawezi kuacha.

Na kwa taarifa Yako anakuombea ufe au anaweza kukuua ili aendelee kuwa huru.

Ukiwa jera au kaburini hao watoto atawahudumia nani? Ni Bora uachane na mama yao ila uendelee kuwahudumia.

Fukuza hiyo Malaya.
 
Baada ya yote haya, naamini utamsamehe Tena..

Kila la heri.
 
muache aende kwa ampendaye..
 
Mwanamke anayefanya kazi(mwajiriwa) inshort tu ni mke wa mtu huko kazini.Mbona mnakuwa wajinga sana kila siku tunapowaambia hapa?

Mwanamke abaki kuwa mlezi wa familia tu basi kama kazi mtengenezee kitega uchumi hapohapo nyumbani!!
Hii ina saidia kwa % kadhaa lakini huku makzini mimi binafisi ninayo yaona itoshe kusema wake za watu wanaliwa vibaya mno kama hawana wazazi.

Hivi karibuni nimesuruhisha mgogoro wa jamaa yangu anakula wake za watu wawili na wanafanyakazi sehemu moja ila vitengo tofauti jamaa kawala wote wakafahamiana ikawa shida wanataka kuzipiga mmoja akidai heri tupigane tufukuzwe kazi kuliko kuzalauliana namna hii "kumbuka ni wake za watu hawa"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…