Mke wangu kamganda mme wa mtuu! Ushauri jamanii

Umempa ushauri mzuri sana mwanamke anayekucheat hafai kwa matumizi tena, lakini mkuu mimi zangu si chai ila naongezeaga mbwembwe kidogo
 
Mnajua baadhi yenu mliooa ni wapumbavu sana, yaani ushagundua mke wako anawekwa rungu bado umemsamehe,kawaloga nani? Haya kuna kigogo dodoma kama mke wako ni mwalimu na ulimnunulia gari huyo mwanamke unatombewa sana,pia kuna jamaa anaishi dar na Arusha,kama mke wako anasoma dodoma unatombewa sana,ndoa hizi ni usenge sana siku hizi,kumamae
 
Mke wa huyo jamaa alipataje namba yako?

Mkeo anapata wapi ujasiri wa kukununia kisa umemkataza kutombwa nje ya ndoa?

Kati ya mkeo na wewe, nani mke kwenye ndoa yenu?

Una uhakika uko katika wakati sahihi kumiliki mke?

Hii chai sio kwamba aidha kuna kiungo kimesahaulika ama umetia chumvi badala ya sukari?
 
Ktk makosa ambayo mimi huwa sisamehi ni usaliti ktk mapenzi, mwanamke afanye usenge wake mwingine wote naweza kumsamehe,ila usaliti ni big NO.
Sasa we nae sijui ni msukule.
 

Wanaume hatulazimishi kupendwa, tunaondoka kwa kiburi
 
Waozeshe huyo ndiyo chaguo lake
 
Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Kosa lako lilianzia hapa mwanamke msaliti huwa hasamehewi

Hayo mengine yaliyokukuta ni haki yako

Jinga moja wewe
​
 
Ukubali tu kumwacha mambo mengine yaendelee
 
pole mzee kwanza una huruma na hongera hapo ndo ange ondoka mwenyew ,an utaratibu ni nge badilisha ni nge kuwa bize na kazi na watoto wangu alafu hata ku muuliza ni singe uliza na hata huyo mzee kumfata ni singe subutu
 
U
Ulivyomsamehe kipindi cha kuanza ndo uliharibu, mwanamke msaliti hatakiwi kupewa nafasi yeyote, ni talaka on the spot, muulize shida nini, pengine huna hela kama huyo mzee, au humkandi vizuri kama anavyokandwa na yule mzee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…