mabutu1835
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 1,136
- 1,919
Mkorogee sumu ya panya na mende huyo hakufai tena!🙉Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Sio kila kitu ni product ya TATEPA mkuu, hili life kuna hizi scenarios zina happen kabisa ni vile tu tumezoea kuona kuna uwezekano havipo au ngumu kutokea kumbe ni uhalisia wenyewe matukio yapo..
Huyo sio mkeo mkeo, huyo ni mke mke wetu.jamaa kwani kwani wanawake wameisha, shida unaogopa kuumia kwa upweke na ushamzoea...lakini kumbuka kwa stage aliyofika si mkeo tena huyo
Tafuta helaDume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Jamaa ana hamu ya kutukanwa na wanaume. Ana hamu ya kutukanwa matusi mapya.Vumilia tu ndugu yangu.Mungu ni mwema na yatapita tu.
Khaaaa!Hivi ndivyo nilivyoandika huo ujinga hapo juu?Nisamehe ndugu mleta uzi.🫸🫷
Mzee unawesa tomba sana ukafanya kila aina ya uchafu ila ukiwa huna misimamo ya kiume mwanamke hawezi kuishi nawe kamwe..mwanamke anataka mtu wa kumuongoza kitu huyu jamaa kashafeli. KUTOMBA VIZURI PEKES HAKUMFANYI MWANAMKE KUA ROYAL PEKEE YAKE KUA KIONGOZI KWA MWANAMKE WAKO ANGALAU KWA ASILIMIA 50 ITAISAIDIA,,MWISHO MWANAMKE HATABIRIKI USIWEKE MATARAJIO KWAKE.Huyo msenge atakua anatomber uno pande zote kama la gwajima QMMK we c unaleta mazoea wenzio kila siku wakikutana nae wanafanya kama wamejuana nae jana
Kama huna akili kubwa usichukue mtotowa mtunatamani sana ndoa, lakini kwa matukio haya na hizi akili kidogo mungu alinipa dah ! nahisi kabisa ndoa hainihusu.
Wanawake wana akili nzuri sana za kusoma wanaume. Akishakusoma na kukuona wewe ni zoba basi ataku-treat kama zoba.Samahe yote kwa mwanamke ila sio usaliti wake,,,usije msamehe mwanamke msaliti kamwe.
Huko nyuma niliwahi jifanya Nice guy yaliyonikuta maumivu yakawa mara tatu yake.
Mwisho niseme hivi "WEWE NI TATIZO KULIKO HATA HUYO MWANAMKE WAKO,WEWE AKILI YAKO NDOGO INAWEZEKANA UBONGO WAKO UMESINYAA"
Mwanamke anataka mwanaume kiongozi sio mjinaga mjinga kupiga paipu pekee yake haitoshi.Wanawake wana akili nzuri sana za kusoma wanaume. Akishakusoma na kukuona wewe ni zoba basi ataku-treat kama zoba.
Sasa umethibitishs kuwa unatombewa na bado mwanamke unaendelea kuishi naye unataka msaada gani? Utaendelea kutombewa sana tu kwa vile jujitambui. Sheria ni moja tu ukigundua na kuthibitisha mke ana cheat piga chini fasta huwezi usituambie sisi kwani kanuni iko wezi.Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!