mtanzania in exile
JF-Expert Member
- Feb 17, 2012
- 1,509
- 1,405
Vumilia? Kwani kaambiwa kuna mwanamke au kuna wanawake duniani?Vumilia tu ndugu yangu.Mungu ni mwema na yatapita tu.
Khaaaa!Hivi ndivyo nilivyoandika huo ujinga hapo juu?Nisamehe ndugu mleta uzi.🫸🫷
Daah tupo kwenye track Moja mzee nawaza sana najiona nnaakili ndogo kuliko maelezo najiuliza nikiletewa uhuni si itakuwa ni nomanatamani sana ndoa, lakini kwa matukio haya na hizi akili kidogo mungu alinipa dah ! nahisi kabisa ndoa hainihusu.
Alhamdulilah! Atakuua huyoooo....Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
😁😁🤣🤣🤣 Hicho kipigo Kmmk 🙌😁Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!

😁😁😁Sasa tutakushauri kipi zaidi ya kukwambia uungane na mkeo?
Achana nae huo ndio ushauli wanguDume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Piga chini malayaDume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!

Huyu ana hadithi za kufunga.Kumbe bidada ni analipia mapigo yako,. Pole sana
Thread 'Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri' Nahisi mke wangu anachepukaa! Jamani naombeni ushauri
Ya nini kumpiga mtu kwa sababu ya mapenzi tu? Ameshaamua kumpenda mtu mwengine mwambie afunge virago aende kwa huyo bwana wake au aende kwao? Ya nini kujipa maudhi ya moyo na mogonjwa ya bure? Utamuamini mtu kama huyo aije kukulisha sumu au kukutoa uhai ukiwa umelala? Achana nae haraka!Dume rijali la JF naja kwenu dah mwenzenuu, ndoa yangu miaka 7 mke wangu kamganda Mume wa mtu!
Mwaka jana niligundua kuwa mke wangu kuna mwanaume anamahusiano naye, ni baba mtu mzima na wanafanya kazi sehemu moja. Niliiongea na mke wangu tukagombana sana lakini mwisho aliniomba samahani na kuniambia kuwa hawezi kurudia tena. Mimi nilimsamehe na kila kitu kilikuwa vizuri.
Mwaka huu mwezi 3 nilikuja kugundua kuwa bado hawajaachana kwani nilikuta meseji mke wangu akimtumia huyo mwanaume picha za uchi, niliumia sana kwani anatumia simu yake na hiyo simu watoto wetu wanaichezea, nilipomuuliza alibadilisha password na kuniambia nisimfuatilie yeye si mtoto. Alinijibu vibaya sana hata nilipoongea na Mama yake kumuambia mambo ya binti yake haikusaidia chochote, hivyo niliamua kumtafuta yule mwanaume.
Nilimtafuta kistaarabu kama mwanaume mwenzangu kumuambia kuhusu mimi kujua mahusiano yao na kumuomba aachane na familia yangu kwani tuna watoto watatu na ndoa yetu ina miaka 7sasa, alionyesha kunielewa na kuniambia atakata mawasiliano na mke wangu.
Kweli ni kama waliachana kwani mke wangu alirudi akaninunia kuwa nisimfuatilie, mimi nilijua kama yameisha lakini juzi nimetumiwa meseji na mke wa huyo mwanaume akinambia kuwa mke wangu anamsumbua sana mume wake.
Akanitumia screenshot mke wangu analalamika kuwa hawezi kumuacha ni bora kuvunja ndoa yake lakini si kumuacha yeye, kwa kweli jana nimempa kipigo cha mbwa msikitinii.. Yoweee usiku wote
Eti yowe usiku kucha !! 😅Kataa ndoa,kipigo si ishu
Hii ni chai ambayo Bado haijaiva ni pure raw material