Mke wangu kanikimbia

Mkuu siku akikimbia na wewe mkimbize uone kama hachoki unafanya kukamata na kuweka ndani
 
Nimeishia hapo eti ukafanya maamuzi ya kumpa ujauzito, wewe ndo mwenye kuamua kuhusu ujauzito.!
 
Eti mke kakukimbia wakati huo tayari amesharudi kukupigia magoti, kukimbiwa unakujua unakusikia..!

Namwonea huruma sana huyo unayemuita mke.
 
Kwani ana umri gani huyo mtu wako??? Usikute umri unaruhusu kufanya anayoyafanya
 
Umri wake unaruhusu, age hiyo sidhani kuwa anajua hata umuhimu wa ndoa...ni umri wa ndoto bado, kama amepita shule basi ni umri wa kua chuo, sasa binti wa chuo na ndoa wapi na wapi....

Kama bado unamuhitaji inabidi uishi nae kama binti yako.
 
Umri wake unaruhusu, age hiyo sidhani kuwa anajua hata umuhimu wa ndoa...ni umri wa ndoto bado, kama amepita shule basi ni umri wa kua chuo, sasa binti wa chuo na ndoa wapi na wapi....

Kama bado unamuhitaji inabidi uishi nae kama binti yako.
Binti yake wakati anamkaza?
 
vile nimesona hii mada na kile nimeona kaa mtaalamu wa mambo mengi, wewe muleta mada ndio hujakomaa akili, i mean you are still very immature, it takes a smart and a wise man less than 3 weeks to make a decision if this is the right lady to be with,but from your narration of events both you and your lady are still not in a postion to make proper decisions abaut life, if you see a lady who always want to check your phone, a lady who feels insecure coz you have more money or earnings than her, then you are wasting time with her, bro, be mature and look for a mature lady, all the best sir
 
kwanza kabisa lazima ujue status yako kwamba wewe ni mwanaume unaejiweza..

huko kujiweza kwako ndo kunaleta matatizo kwenye familia.. kivipi? ok ni hivi...

shemeji anapenda kukagua simu yako coz anahisi unachepuka.. na wanaume wengi waaojiweza huwa wanachepuka

shemeji anakasirika usipomtimizia jambo alilokuomba coz anaamini uwezo huo unao ila unaamua tu so kwake anaona kama unamfanyia makusudi.

umechelewa kwenda kumchukua shemeji coz ulikua unakunywa bia na washkaji.. hili linaweza lisiwe tatizo ila kwa sababu tayari mmeshakua na matatizo mengine ya kila siku, hili nalo limeonekana ni tatizo.

NINI CHA KUFANYA..

em jaribu kushare password yako na shemeji, jaribu kumtimizia anachokuomba, jaribu kwenda kama anavyotaka yeye uone mambo yatakuaje..

kumbuka nimesema hili ni jaribio, unaweza ukalifanya japo kwa wiki mbili ilimradi tu uone kama hapo nyumbani maisha yatabadilika.

kwenye kila tatizo linalokukabili na linalojirudiarudia katika maisha yako, ukitaka mabadiliko na ukitaka matokeo ya tofauti basi jaribu kufanya kitu cha tofauti.

kila baada ya muda unaumwa malaria na hauchomi dawa wala hulali ndani ya chandarua halafu unanung'unika kwa kuumwa malaria.. hilo ni tatizo

matatizo yenu ya ndoa ni kama malaria tu na solution nilokupa ndo kama chandarua.
livike penzi chandarua. lichomee dawa ya mbu uone kama mtapata tena malaria.

Y = mx + b

hii formula naiita formula ya kuendesha maisha.

usipopendezwa na value ya Y, jaribu kuweka value ya tofauti kwenye X.

change the way you treat your wife and your wife will change the way she treats you.
 
Watu wenye gubu n noma nlimpata mmoja nkashindwa maana alkua akianza kuongea nalala nashtuka hta after 2hrs bado anaongea anhc skulala nkaona nooooo nkapga chini
 
Hadi hapo tu wewe ni mwanaume wa shoka,

Hujaribiwi.Nimekupenda haswaa.
Umenikosha.

NI MWIKO MWANAMKE HATA MGOMBANE VIPI AKIMBILIE KWAO.

HATA KAMA ANGEKUFUMANIA BADO HABA RUHUSA YA KUKIMBILIA KWAO.

ANAPASWA AKIMBILIE KWA NDUGU ZAKO WEWE MWANAUME.UKWENI KWAKE.

ULICHOKIFANYA ALIPOKIMBILIA KWAO HUKWENDA KUMFUATA WEWE NI SHUJAA WA MAPENZI.NI MTU UNAYEJITAMBUA.

SASA BASI,

KWA KUWA KAJA NA MAMA YAKE KUTANA NAO WOTE NA UMWELEZE HILI LIWE MWANZO NA MWISHO.

HATA KUMFUATA NA GARI USIMZOESHE KUMDEKEZA.MWAMBIE KWASASA AWE ANAPANDA GARI KAMA WENZAKE SIKU UKIWA NA NAFASI UTAKUWA UNAMPITIA.LAKINI ISWE MAZOEA AU SHERIA.

LINGINE IWE MARUFUKU KUKUCHAGULIA WATU WA KUONGEA NAO.YEYE KAJA KAKUKUTA NA HAO MARAFIKI ZAKO.LAZIMA AWAHESHIMU.

KWENYE KIKAO UWEKE MSISITIZO WA HAYO MAMBO.

NA YEYE AAHIDI KUYATEKELEZA KAMA YALIVYO.
UTAMUONA ATAKAVYOKUHESHIMU
 
Ushauri
mbovu kuwahi kutokea,

Yaani unataka awe mume bwege?

Yaani akubaliane na matakwa ya mkewe ya kuchaguliwa hata marafiki?

Wewe bila shaka ni mwanaume wa Dar
 
Mzee hizo ni drama za kawaida za wanawake, mchukulie poa ingawa kwa vile vinavokukwaza mchane ukweli kuwa hupendezwi navyo. Mahusiano ni kuongea, kitu umekipenda sema, kitu hujakipenda sema.
 
Msamehe tu atakua ameshajifunza usipofanya hivyo mwanao anaweza lelewa na bwana mwingine jambo ambalo hakuna gentleman anakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…