Mke wangu kanikimbia

Mtoa mada nakuambia mchana kweupe wewe ndio mwenye matatizo. Muda wa kuoa bado na umejitwisha mke na watoto wakati akili yako haijakaa sawa kuanzisha familia. Mkeo mtarajiwa ana akili kukuzidi mara 10

Umepata mke sahihi anajaribu kukuweka sawa ila wewe hujiatambui. Nina uhakika kama mkeo akija kuelezea madhaifu yako wanaume tunaweza kujificha kabisa. Grow up. Period
 
bado mtoto huyo, lazima akusumbue sumbue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…