Mke wangu kaniona nikiwa namshika Muhudumu wa Baa, nasuluisha vipi hii kesi?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
10,406
Reaction score
19,892
Mambo vipi wakubwa.

Ebana tuna siku ya tatu hatuongei na wife,sababu kubwa ni siku ya jumapili sikujua kama alipotoka church alipitia bar jirani na wanakwaya wenzie wakawa wanakunywa soda.

Basi me nikaenda kutoa lock pale kwa ile bar,mara ghafla yule mhudumu nae akaanza kucheza mziki huku ananikatikia kwa mbele.

Wife aliona tukio zima na kulirecord.

Ebana leo kanipa file langu lote nimejiona mjinga.

Kesi kama hii inasolviwaje?
 
Kwamba wife na wanakwaya wenzake wametoka kanisani wakapitia bar?
 
Isingizie pombe kila kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…