Mke wangu kaniona nikiwa namshika Muhudumu wa Baa, nasuluisha vipi hii kesi?

huyo mkeo ni celebrity hapa bongo?? mbona kutupostia jukwaa la celebrity au ndio kuvurugwa ukayakanyaga?
 
Mwambie bahati mbaya halafu sio akili Yako mwambie
 
Mwambie walikuwekea madawa wakakudukua huyo sio wewe kabisa ukiwa timamu..
Solved!
 
Kwani barmaid hutakiwi kucheza nae kama umeoa duh ukatili wa hali ya juu
 
Accept, own it, onyesha attempt za kujirekebisha
 
Mwambie zilikuwa ni pombe tu si akili yako.
 
mbona hakuna kesi hapo
 
Hivi kweli hili andiko ndilo litakuja kuwatoa watu kwenye lindi la umasikini kwa watu wenye ubongo wa aina hii, kweli jf ipo kwaajili ya wajinga zaidi
 
Mkeo ana tatizo la ubongo labda, mbona wanywaji ni kawaida kuwashika shika hawa wahudumu, sema labda naye ana mchepuko sasa anatafuta sababu aanze kufanya yake. Hakuna haja ya kutoa maelezo wewe piga kimya kana kwamba halijatokea jambo lolote kama akiamua kuondoka kwa sababu hiyo mfungulie mlango.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…