Mke wangu kanisave "Mbwa" kwenye simu yake


Na bado unaishi nae mpaka dakika hii?

Una roho nzuri sana mkuu
 
Ameanza MBWA

halafu atakusave MBWA KOKO

kisha MBWA MWITU

then MBWEHA

halafu FISI
 
Snoop Dogg Inabidi Ujitathminini Maana Hii Sio Kawaida.
Mbona fresh tu, bongofleva kulikuwa na Mb dog na Songi dog walipendwa na mashabiki.
Labda angemsave kienglish Dog kwa kiswahili linakuwa kali sana.
Au Basi!
 
Hahahahaha
 

Mna uhakika uyu jamaa sio muhaya [emoji23]
 
Huyu ndiye mwenye legal rights kama next of kin, ukipata ajali anaweza kuwaambia madaktari wasiendelee ná matibabu na uamuzi wake ukaheshimiwa.

Ukifa yeye ndiye mrithi wa hata ile dog kennel uliyojijengea.
Inaogopesha!
 
Kuna tukio alipigw ndio maana ame saved mbwa.....anajua dhahiri
 
Sijui mliokotana wapi ila sio pazuri maana mwenye adabu na heshima hamuwezi kuitana hivyo

Kuna kitu mnajuana ndio maana kasave hivyo
Naona umeshindwa hata kujibu ukijua jibu liko wapi
Sisi wanaume wa mkoa wa MARA Kanda MAALUM tunauliza unamwogopaje mwanamke wako muulize banaaa...

Wanaume wa dasilama wanachangamoto sanaaa 😂😂
 
Sio fair hata kidogo, kama hawezi kuwa romantic si akusev jina lako ijulikane?

Kwahiyo analala na mbwa?
Please men marry your best friend hata mapenzi yakiisha mbaki mkiwa friends
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…