Mke wangu mchafu, nimeongea nimechoka

Mwanamke mchafu ukute kipind ndo ametoka kujifungua ana harufu fulani kama ng'onda na Kwa vile ananyonyesha hana ruhusa ya kupaka manukato duh!! Utasanda hiyo harufu..
 
Msaidie nyumbani na kazi za usafi. Piga deki, toa taka taka, etc. Vile wewe hufanya kama hayupo. Ulimuoa wewe. When you end up with a bad lady for a wife huwa umefeli. Whether uliona mkichumbiana or not. Ulianguka mtihani. A constant reminder that as a man you are not perfect. Wacha mambo ya ku complain in anonymous forums or to your friends. Brings out your weakness.
 
Inawezekana pia, nami nina tatizo same same..Nimekua mkubwa ndio nikagundua ni tatizo.

Asipojicontrol atagombana sana na watu.. Mi siku hizi nimeweza kucontrol... hata watu wakifanya uchafu nawaacha muda ukifika najifanyia zangu. Zamani ilikuw ukichafua mimi nasafisha muda huo huo. Ni mateso kwa kweli!
 
Hiyo inaitwa  mboneka kazaliwa nao, na binti yako atakuwa hivyo hivyo.

Vumilia.
 
Wanawake wengi wapo hivyo, lakini sidhani hiyo ni sababu ya kuvunja ndoa kama hana tatizo kwenye mambo mengine, chamsingi tafuta solution,jaribu kuwa na vitu vichache vinavyotumika,mfano nguo chache ambazo lazima azifue ili zivaliwe,viombo vichache lazima aoshe ili apike,furniture chache rahisi kufanya usafi n.k
 
Kwani we mchafu mkuu...
 
Wewe na mimi hatupishani,mimi kukiwa na uchafu nakosa raha kabisa,na siwezi kuvumilia,kila kitu lazima kikae kwenye mpangilio kinyume cha hapo hatutaelewana...
 
Kabla ya kuoana tabia njema Zote utaziona.
Sasa subiri muingie ndani.
Halafu Binti wa kazi unamkuta ni msafi mnoooo
 
Inaelekea wewe unahiyo roho ya usafi na jitihada za kufanya usafi. As long as ukiwa pekeyako unamaintain usafi, nakusihi uwe hivo hivo hata akiwepo. I mean jukumu la usafi ulibebe wewe. Inaweza kusound rediculuos lakini ndivyo uhalisia ulivyo.
 
Hiyo ni changamoto kubwa sana nakupa pole mno.. Ila kwa uzoefu wangu na kuchokonoa vitu niligundua hii tabia ni pepo! Pepo la uchafu.. Yani ni tabu tupu na mwenye nalo haoni shida yoyote
 
itabidi umvumilie,mtu nzima kumbadilisha ni kazi,usitegemee jipya utapiga kelele mpaka uchoke
usafi watoto wanafundishwa tangu wakiwa wadogo,kipindi cha uchumba siyo kwamba hukumuona ulimuona sana(ni mvivu yaani sema ndo hivo hukutilia maanani)
nimpe pole binti yako usipopambana atakuwa kama mama yake tu,
 
wanawake wafundisheni mabinti zenu kazi
ukiona mwanamke analoweka nguo siku mbili,anarundika vyombo nikupe pole
 
Pole sana mwanamke kuwa mchafu hata aipendezi , muonye mara ya mwisho asipokuelewa fata ushaur wa mwamba hapo juu .
Nilivyo sipendi hta kukanyaga mchanga ndani nawaza hapo kitandni na joto hili hizo shuka analalaje na usingizi kupata na harufu ya joto.
 
Huyo mpandishe tu cheo awe mke mkubwa maana huna jinsi ya kufanya.

Mimi siku zote namuomba Mungu anijalie mwanamke anayezingatia usafi.
Hakuna kitu kinatia aibu Kama kukaa Kwenye mazingira machafu.
kuna mfanyakazi mwenzangu jamani huyo kaka alikuwa msafi kuanzia unavomuona nje mpaka ndani kwake,siku moja nkamuuliza john itakuwaje siku ukioa mwanamke mchafu?alinambia ndoa itanishinda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…