Mke wangu mtarajiwa popote ulipo

Mke wangu mtarajiwa popote ulipo

Unalifahamu hilo gheto[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]

Fafanua mkuu au na wew tayari[emoji119]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndiyo atakuja kuishi kwenye lile ghetto lako?[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]

Sent using Jamii Forums mobile app
Itakuwa afadhali maana atamsaidia kusafisha,,,, kupanga vitu,,,, kutandika kitanda,,, kutoa vile vitu alivyojaza kitandani,,, ku-brush viatu na kunyoosha Yale mashati yake ya ccm.

Kwakweli[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13].
Yale mashati utadhani yametafunwa na ng'ombe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ha ha...balaa huyu anapewa kidogo huku miguu ikibanwa asizame kabisa.
 
Back
Top Bottom